MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
hahahah Khanga moko, laki si pesanaoana umetuletea neno jipya tena
.Savoy , Moro.
asante lol
Maty Khanga yangu jamani loh!!
hahahah Khanga moko, laki si pesanaoana umetuletea neno jipya tena
.Savoy , Moro.
asante lol
Hebu itamke tena kwa nguvu niisikie mbona bado sijasikia
hahahaha lol
usijali watajitokeza tu
cha ajabu kila mluga alikuwa anasema "najua wewe ni muiraqi hivi Dena yuko wapi siku hizi lol"
Kuna muziki na manguree kwa kwenda mbele hapo kwenye red
Ha ha ha lol!! Aisee wazima siye yaani Jumatatu ya leo mkoloni yuko :love::love::love::love: sijui imekuwaje
Hana mpango eti alipumzika likizo mpaka JF akawa haiingii
Kama vile chat rum!
mariamu wanguu, tanga mbali ehh,Mzee wa MEMKWA ............Surely your happiness is shown here daym
naona hadi umeweka kiluga hapo.......mosimosi
Jamani jamni huyu hili sikubali nalo,,,
mmhh alikuwa na majukumu tu hahah lol
Walinimiss nimerudi mother house
dah.... ushawahi potea pongwe weye?seen any madira somewhere huko??????????????
"Flocciiiiiii nauciiiiiiiii nihiliiiiii piliiiii ficationnnnn"
Hivi haujui tu kama Dena ni mchonganishi au umesahau
:love:hahahahh lol
labda MJ1 hajui hayo lol
:love:
dah.... ushawahi potea pongwe weye?
TF:car: