afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,151
- 9,272
[QUOTE=Kimey;
hahahaha hii mixer ni balaa utaifurahia.....habari yake utaipata kesho yake lol
mmmhhhh mie leo ntaitwanga hiyo...
mpaka nisahau siku niliyo zaliwa na shida zake zote..
mmmhh tuki toka hapo counter ya juu
tuingie mitaa ya chini tuka malizie na clubin kidogo..
maana ni dhambi kwa single lady kama mie kurudi home saa saba usiku ..
yaani mpaka kukuche ndo maana yake..
hahah lol