Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

[QUOTE=Kimey;

hahahaha hii mixer ni balaa utaifurahia.....habari yake utaipata kesho yake lol


mmmhhhh mie leo ntaitwanga hiyo...
mpaka nisahau siku niliyo zaliwa na shida zake zote..

mmmhh tuki toka hapo counter ya juu
tuingie mitaa ya chini tuka malizie na clubin kidogo..
maana ni dhambi kwa single lady kama mie kurudi home saa saba usiku ..
yaani mpaka kukuche ndo maana yake..
hahah lol
 
Hata barua ya Onyo hakuna? Smiles don't do me....You know I will miss your smile!!

:nono::nono::nono:
Nawasubiri viongozi wanipe emergency protocol...........
 
Niko very closely to you my dear TF hafai ni wa kumwacha kaja na sound eti password kuna mtu kaiba wakati yupo via mobile??

mmmh nakwambia halafu na sikia anapewa mambo kwa kwenda mbele...
 
sasa mamy unataka tuingiliane kwenye sket?yy kaja kasema huko atokako shida na tabu zimejaa na mm nimepewa bureeeee kwann nisimpe faraja ya moyo?
ati nini hakuna cha upendo hapo wala nini......
sana sana nikuingiliana tu kwenye suruali lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…