Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

I wish!Nimetolewa baruti....i'm on the run!Na hiyo namba siitaki..yani niwe no.19 kati ya 19?Ntaleta yangu nijiweke juu kama mawingu!

Hahahahahahaha LOL! :wink2: naona umeisusa # 16
 
Yangu mimi hamuipendi sio?...muhimu sana hii maneno

What we do in life....echoes in eternity
 
7.Maria Roza--Thank God for what you have. Trust God for what you need.

Namba 7 kwa Maria asante Afrodenzi mimi penda wewe sana
 
Zingekua zake afadhali...mi kesho mapemaaa nagonga kwa kalumanzira!

jamani nisamehe sana mwaya
hamana particular order hapo..
karibu Tonic na Gin au glass ya wine..
ili tuongee vizuri leo ijumaa mwaya...
 
I wish!Nimetolewa baruti....i'm on the run!Na hiyo namba siitaki..yani nime no.19 kati ya 19?Ntaleta yangu nijiweke juu kama mawingu!

Huchoki kukimbia tu! Naambiwa mabomu Kwishney huko
 
Hahahahaha!Haya muulizaji umeshajua pakupeleka mahari!!
Hahahaaa...
Raha sana...najua akina baba wengi hawafurahii habari za kuolewa mabinti zao..Wanaanza kwa kuwa wakali sana...
Simlaumu Reverend.
Mchungaji utaniona si muda mrefu kwenye hekalu lako tukufu.
 
jamani nisamehe sana mwaya
hamana particular order hapo..
karibu Tonic na Gin au glass ya wine..
ili tuongee vizuri leo ijumaa mwaya...
Labda champagne itanituliza!Asante
 
Hahahaaa...
Raha sana...najua akina baba wengi hawafurahii habari za kuolewa mabinti zao..Wanaanza kwa kuwa wakali sana...
Simlaumu Reverend.
Mchungaji utaniona si muda mrefu kwenye hekalu lako tukufu.

Unaweza tanguliza kishika uchumba, kishika mimba hakikubaliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…