Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

BUJIBUJI:KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE

 
Hahahaaa...
Raha sana...najua akina baba wengi hawafurahii habari za kuolewa mabinti zao..Wanaanza kwa kuwa wakali sana...
Simlaumu Reverend.
Mchungaji utaniona si muda mrefu kwenye hekalu lako tukufu.

Karibu karibu na karibu!Ntamwambia baba atarajie mgeni!
 

Ukiuza utumbo usiogope nzi haijakuvutia mama?
 
BUJIBUJI:KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE


mmhh hii safi sana kwa kweli ..."WOSIA WA BABA"
 
mmmhh mie nayajua yale yenye vichwa veusi...
wakubwa size ya gumba hahahah lol
we ndo unawaongelea hao hahah lol

Hahahaha angalia usije pata kipindu pindu oooh mainzi mengine hayafai

Karibu Chuda lakini upitie mpaka chumbageni
 
Hahahaha angalia usije pata kipindu pindu oooh mainzi mengine hayafai

Karibu Chuda lakini upitie mpaka chumbageni

hahaha lol
mie napata kipindu pindu nikila maembe siku ya mvua tu..
nzi hawanitishi hahahahah lol

mmhh mie tayari nshaingia yanini wanikaribisha tena hahah lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…