Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young?

Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young?

Kwa intelijensia yangu hauko floor chache kufikisha 30 but uko kwny 30 unaelekea 40
Mara zote Intelligensia yako hua ipo sahihi ?
Kama ndio basi kwa mara ya kwanza umeenda kombo
Humu JF kuna watu tunajuana physically hao pekee ndio wenye kujua ukweli diha 🤗
......hayo ndo mawazo hutukumba wenye umri huo....
Kama ni hivyo basi nina kiherehere cha kuwaza mawazo ya watu wazima 😅😅🙌🏼
 
Mara zote Intelligensia yako hua ipo sahihi ?
Kama ndio basi kwa mara ya kwanza umeenda kombo
Humu JF kuna watu tunajuana physically hao pekee ndio wenye kujua ukweli diha 🤗
Kama ni hivyo basi nina kiherehere cha kuwaza mawazo ya watu wazima 😅😅🙌🏼
Utu uzima mwenye siri yake ni wewe...😅😅😅😅 kiddin...
 
Kwanini dear niambie nikifika hapo nimalizie unachodhani ulibakisha

Jamaniii kati kati si hata hazionekani 😅😅😅 ziache tu bana

Wow nzuri maa 😍
Nakumbuka picha yako zamani una mwili mzuri so sex babes

🔥🔥🔥

Mambo ya kua mzigo hapana
Mi pia sihitaji

My lovely Sister 😍
Uzoefu unaonyesha wanawake wengi wana tabia ya kuficha umri halisi. Mfano mwanamke akisema ana miaka 30, kiuhalisia utakuta ana 40. Na katika watu wanaochukia kuambiwa ni wazee basi ni wanawake.
 
Back
Top Bottom