Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young?

Salamu napokea vema japo Kuna wengine naona too much jamani unakuta mtu ni mumama kabisa nae ananambia shkamoo 🤔
Hao ni wale wanaojifanya Bado watoto wadogo. Ole wako mtu anayejiona mdogo umshushue mtakosana.
 
Ninavyopenda uzee, vijana wangu nikiwaambia waniite mama wananigomea wananiita sister namind kinoma..!! 😹

Mi uzee naupenda na sasa hivi natamani kudate mzee ila sio age ya baba yangu..!

Wale wazee wa 45yrs ndo target yangu..!!
Mimi wa 55 vipi, ama age imeenda sana.
 
Uzoefu unaonyesha wanawake wengi wana tabia ya kuficha umri halisi. Mfano mwanamke akisema ana miaka 30, kiuhalisia utakuta ana 40. Na katika watu wanaochukia kuambiwa ni wazee basi ni wanawake.
Sasa kwenye platform kama hii naficha miaka ili iweje yaani ?
Natafuta mume au

Wewe sijui ni wangap unasema hivi
Najiuliza nifiche ili iweje

Mnashangaza sana
Honestly sijafika miaka 30 then najiuliza imewauma mimi kua sijafika miaka 30?
 
Hainiumi chochote, nimekuambia uzoefu wangu kwa wanawake wengi, nothing personal.
 
Umeni qoute ndio ukasema hivyo maana yake umenilenga hata mimi nimeona umetaja umri wako hapo shikamoo baba
Anyway mkuu no problem 😊
 
Nimetaja kundi Zima, huenda na ww ni mmoja wapo. Nimemwambia huyo mrembo aje kwangu atapata mambo mazuri. Yaani atajuta siku zote alikuwa wapi kutokutana na mimi. Kwa umri wangu na uzoefu wangu wa kuzunguka sehemu nyingi duniani najua handling. Na kwenye upande wa kipato si haba.
 
Okay 👍
 
Kama ungepewa nafasi ya kubaki na umri mmoja milele, ungechagua miaka mingapi. Ningechagua miaka 70
 
Nimetaja kundi Zima, huenda na ww ni mmoja wapo. Nimemwambia huyo mrembo aje kwangu atapata mambo mazuri. Yaani atajuta siku zote alikuwa wapi kutokutana na mimi. Kwa umri wangu na uzoefu wangu wa kuzunguka sehemu nyingi duniani najua handling. Na kwenye upande wa kipato si haba.
Wacha weeh! mzee wewe unaamasisha..!! 😹😹
Kwahiyo yapo?
 
We nipe nikifa hutahusika. Wanawake wenyewe nyie wa chips na bia za makopo, mtamuua nani?
😹😹😹 Mzee andika wosia kabisa.!

Kwahiyo kwa hiyo age unatumudu mabinti zako? Sio unafinyiwa unakata moto, HATUTAKIII 😹😹
 
😂😂 ningekuwa siwajui hapo sawa. Ila nyie mnaolowana kabla hata ya kuingia room. Labda mtawatisha mapeasant.
 
Back
Top Bottom