Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young?

πŸ˜‚πŸ˜‚ ningekuwa siwajui hapo sawa. Ila nyie mnaolowana kabla hata ya kuingia room. Labda mtawatisha mapeasant.
Mtu unamuheshimu vizuri tu 🀣🀣
 
Jela kwa hawa watoto waliokosa maadili hapa jijini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™†
Ataozea jela ukimfia
Hatuongelei utoto

Halafu una maanisha sisi hatuna maadili wewe unayo?
 
Kajitqpa huko juu ana kibunda na anajua kuhandle..!! 😹😹

Sasa sijui na kileleni ataweza kunifikisha?
We nenda kachukue hela kwa umri huo kama hakua mtu wa mazoezi na ukute ana kitambie hufiki kilele nakumbia😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…