Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Mtoto wa dada yangu aliazima joho la mwenzie, akapiga nalo picha kisha akamtumia mama yake mkoani. Lakini kiukweli alikuwa ame DISCO CBE mwaka 2020.
Mama alikuja kugundua baadaye sana wakati anataka ampe vyeti ili amtafutie connection ya kazi.
Je, umewahi kupatwa na hali kama hii?
Mama alikuja kugundua baadaye sana wakati anataka ampe vyeti ili amtafutie connection ya kazi.
Je, umewahi kupatwa na hali kama hii?