Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Nilikua abiria kwenye bodaboda nikitokea senta kurudi nilipo tokeaHivi chief ile pikipiki ilikuwa ni yako au ulikodi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikua abiria kwenye bodaboda nikitokea senta kurudi nilipo tokeaHivi chief ile pikipiki ilikuwa ni yako au ulikodi?
Uzuri sikuhizi kazi unaajiriwa kwa CV tu hasa kampuni binafsi ajira za kamlete. Hivyo unaweza ukatengeneza CV yako nzuri tu kwamba ume graduate kweli kisha ukasonga mbele kama injili, vyeti una edit hata cha mtu unapachika jina lako tuHii kitu imekuwa ya kawaida sana miaka ya 2010 kuja huku mbele kwa kuwa wana graduate wengi na katika hao ni less than 5% ndiyo wanapata kazi za ajira.
Hivyo basi wale 95% walio graduate na kukosa kazi wanakuwa wako jobless sawa na wale walio DISCO. Kwa hiyo kwa kuwa wote wako mtaani basi hata walio DISCO wanadai hawajapata kazi kwa vile kazi ni adimu
Sa anadisco cbe ? Angeenda kusoma cherehani tuMtoto wa dada yangu aliazima joho la mwenzie, akapiga nalo picha kisha akamtumia mama yake mkoani. Lakini kiukweli alikuwa ame DISCO CBE mwaka 2020.
Mama alikuja kugundua baadaye sana wakati anataka ampe vyeti ili amtafutie connection ya kazi.
Je umewahi kupatwa na hali kama hii??
Iyo ilitokea kwa Demu mmoja hivi mtwara kumbe demu alidisco kitambo kutokana na Baba ake kuwa mkali Dogo inabidi avunge Hadi wenzie wamalize na yeye akarudi zake home... Msela akawa anajilia tu Mali pika pakua...Kuna binti mmoja alidisco akawa anaishi na mvulana geto na analipiwa ada kabisa, kwa mwaka mzima.
Ndio nilawajulisha sikutaka kufichaJe baada ya ku- disco uliwajulisha wazazi kuwa ume disco?
Mimi nili Disco toka mwaka 2015 mipango chuo dodoma na Wala sijutii japo nilijutia kipindi kile
We unaonaje bossKwahiyo unaona ujanja?
Nasikia huko mahali mpaka vyeti wanapata kabisa. Yaani kila kitu fake, Vyeti fake na Joho fakeIFM Nako nimeona mchezo huo
Mbna kama mm sijakuelewa hivMjukuu wangu mmoja, aliwafungasha wazazi, ndugu hadi marafiki waje graduation, kumbe masikini ni wazazi wanaulizia siku ya graduation.
Hivi mnajua aibu? Acha, na hata leo sijui kama wazazi wake wamejua kitu.
Kuna mchizi alikuwa anagongea kitanda na roommates Kwa miaka miwili wakati alishadisco Toka mwaka wa kwanza ana akaendelea kula ada ya mzazi wakeMtoto wa dada yangu aliazima joho la mwenzie, akapiga nalo picha kisha akamtumia mama yake mkoani. Lakini kiukweli alikuwa ame DISCO CBE mwaka 2020.
Mama alikuja kugundua baadaye sana wakati anataka ampe vyeti ili amtafutie connection ya kazi.
Je, umewahi kupatwa na hali kama hii?
Ni kweli kabisaNafikiri hii inatokana na malezi pia ukaribu wa mzazi na mtoto.
Mzazi anae mjali mwanae ni ngumu kukutana na mabo kama hizi ikiwa mzazi atamlea mwanae katika yale yalio mema na akamuweka mwanae huru kwake.
Lakini pia haya yote yanatokana na wazazi kutikua wafuatiliaji wa watoto wao tangu utotoni, kumbuka hadi inatokea hivi maanayake mtoto hajabadilika kwa siku moja, bali alianza taratibu.
Na wazazi wanapo kua wakali kupita kiasi kwa watoto wao pia yaweza kuwa chanzo cha mambo kama haya kutokana na mtoto kujengewa hofu kubwa (kwamba wakijua nitauwawa), kumbe badala yake mtoto angesema pengine angesaidiwa mapema.
Anyways, nimecheka kwa aina hii ya utapeli, lakini nimejikuta napata uchungu kama mzazi.
Mambo ni mengi
Kwa kampuni binafsi wanajali output. Shida iko SerikaliniUzuri sikuhizi kazi unaajiriwa kwa CV tu hasa kampuni binafsi ajira za kamlete. Hivyo unaweza ukatengeneza CV yako nzuri tu kwamba ume graduate kweli kisha ukasonga mbele kama injili, vyeti una edit hata cha mtu unapachika jina lako tu
,😂😂😂😂😂😂 weee jinga sanaHata mimi baada ya kufeli FOM FOO nilifoji vyeti nikaenda kuwa sekretari wa kampuni ya kuvuna asali. WE HUOGOPI?
Cc: Mbaga Jr Poor Brain Kalpana Kapeace Extrovert
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ndio output kama hamna ni off you go.Kqa kampuni binafsi wanajali output. Shida iko Serikalini
Ama umejilipua kama askari wa TalebaniKwa aliyefeli au kupata GPA ambayo yeye anaona haitaki aje PM tuyajenge nimuuzie vyeti vyangu vyote toka darasa la saba mpaka degree. Degree ni Bachelor of Science in Information technology (BSc. IT), GPA ya 3.8.
Mimi sivihitaji kwa sasa kwani nafanya kazi zangu binafsi