Hali yako chief, natumai unaendelea vyema. Mungu azidi kukupa uzima.Nafikiri hii inatokana na malezi pia ukaribu wa mzazi na mtoto.
Mzazi anae mjali mwanae ni ngumu kukutana na mabo kama hizi ikiwa mzazi atamlea mwanae katika yale yalio mema na akamuweka mwanae huru kwake.
Lakini pia haya yote yanatokana na wazazi kutikua wafuatiliaji wa watoto wao tangu utotoni, kumbuka hadi inatokea hivi maanayake mtoto hajabadilika kwa siku moja, bali alianza taratibu.
Na wazazi wanapo kua wakali kupita kiasi kwa watoto wao pia yaweza kuwa chanzo cha mambo kama haya kutokana na mtoto kujengewa hofu kubwa (kwamba wakijua nitauwawa), kumbe badala yake mtoto angesema pengine angesaidiwa mapema.
Anyways...... nimecheka kwa aina hii ya utapeli, lakini nimejikuta napata uchungu kama mzazi.
Mambo ni mengi
Aisee ,itabidi niwe nahudhuria graduation za madogo in personal.nilikuwa nazidhararau.Hasa hiz za undergraduate.Nafikiri hii inatokana na malezi pia ukaribu wa mzazi na mtoto.
Mzazi anae mjali mwanae ni ngumu kukutana na mabo kama hizi ikiwa mzazi atamlea mwanae katika yale yalio mema na akamuweka mwanae huru kwake.
Lakini pia haya yote yanatokana na wazazi kutikua wafuatiliaji wa watoto wao tangu utotoni, kumbuka hadi inatokea hivi maanayake mtoto hajabadilika kwa siku moja, bali alianza taratibu.
Na wazazi wanapo kua wakali kupita kiasi kwa watoto wao pia yaweza kuwa chanzo cha mambo kama haya kutokana na mtoto kujengewa hofu kubwa (kwamba wakijua nitauwawa), kumbe badala yake mtoto angesema pengine angesaidiwa mapema.
Anyways...... nimecheka kwa aina hii ya utapeli, lakini nimejikuta napata uchungu kama mzazi.
Mambo ni mengi
Hadi hapa nilipo fikia....Hali yako chief, natumai unaendelea vyema. Mungu azidi kukupa uzima.
Hii kitu imekuwa ya kawaida sana miaka ya 2010 kuja huku mbele kwa kuwa wana graduate wengi na katika hao ni less than 5% ndiyo wanapata kazi za ajira.hahaha Africa Kuna vichekesho sana
Binafsi sijawahi kumiss graduations za wanangu kuanzia Chekechea, Msingi, Secondary hadi Vyuo mazee...Aisee ,itabidi niwe nahudhuria graduation za madogo in personal.nilikuwa nazidhararau.Hasa hiz za undergraduate.
Kwa rehma ya Mungu na ikawe hivyo.Hadi hapa nilipo fikia....
Najina kama huu mwaka nishatoboa...
Ni changamoto sanaHii kitu imekuwa ya kawaida sana miaka ya 2010 kuja huku mbele kwa kuwa wana graduate wengi na katika hao ni less than 5% ndiyo wanapata kazi za ajira.
Hivyo basi wale 95% walio graduate na kukosa kazi wanakuwa wako jobless sawa na wale walio DISCO. Kwa hiyo kwa kuwa wote wako mtaani basi hata walio DISCO wanadai hawajapata kazi kwa vile kazi ni adimu
Amen.....🙏Kwa rehma ya Mungu na ikawe hivyo.
Hivi chief ile pikipiki ilikuwa ni yako au ulikodi?Nafikiri hii inatokana na malezi pia ukaribu wa mzazi na mtoto.
Mzazi anae mjali mwanae ni ngumu kukutana na mabo kama hizi ikiwa mzazi atamlea mwanae katika yale yalio mema na akamuweka mwanae huru kwake.
Lakini pia haya yote yanatokana na wazazi kutikua wafuatiliaji wa watoto wao tangu utotoni, kumbuka hadi inatokea hivi maanayake mtoto hajabadilika kwa siku moja, bali alianza taratibu.
Na wazazi wanapo kua wakali kupita kiasi kwa watoto wao pia yaweza kuwa chanzo cha mambo kama haya kutokana na mtoto kujengewa hofu kubwa (kwamba wakijua nitauwawa), kumbe badala yake mtoto angesema pengine angesaidiwa mapema.
Anyways...... nimecheka kwa aina hii ya utapeli, lakini nimejikuta napata uchungu kama mzazi.
Mambo ni mengi
Watanifahamu, baki na hilo hiloFunguka zaidi
Amedisco na bado anagawa uroda kwa muhuni!Kuna binti mmoja alidisco akawa anaishi na mvulana geto na analipiwa ada kabisa, kwa mwaka mzima.