Umewahi kutapeliwa ? Nini huwa ni sababu kuu ya mtu kutapeliwa kirahisi?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Umewahi kutapeliwa mali, pesa, imani au mapenzi katika mazingira yasiyoeleweka mpaka wewe mwenye ukajishangaa imewezekanaje "kuingizwa mjini" ?

Mifano ya utapeli ni pamoja,

Unaambiwa utume pesa upate kazi na unatuma kweli, kazi hupati

Unamtumia nauli demu aje na haji na wakati mwingine unatuma tena.

Unauziwa kiwanja cha mtu mwingine ambaye tayari ameuziwa.

Utapeli wa mitandaoni kwenye simu, meseji na emails za matapeli.

DECI, karata tatu, JATU

Hali ya mtu kutapeliwa kirahisi huwa inatokana na nini ?
 
Me Kuna mtu namdai naskilizia nijue kama kanitapeli au laah ila dawa yake ninayo,,.maana ishu anazofanya ni Haram kumchomesha rahis na anajua hilo huwa anasisitiza nisimchomeshe
 
kitu kikionekana kizuri kupita kiasi, definitely ni mtego. Mtu mzima unatoa pesa ununue ajira?
 
Aliniambia yupo period kumbe kaweka tomato 🙃
IMG-20260809-WA0573.jpg
 
Acha bwana Yoda nilikua natoka zangu shamba kuangalia mahindi, mara paah boda hii hapa na njemba mbili, dereva akaniita pembeni eti huyu jamaa (aliebebwa) wapata ajali huko walikua wanasafirisha dhahabu sasa anatafuta mtu anaeitwa mchungaji kwenye mtaa ambao nilikua nimefika nikiwa natoka shamba), ewana we si dereva wa boda akaniambia tufanye mpango tumzunguke huyo jamaa tuchukue hizo almasi nikajiingiza mkenge mimi mwenyewe, hapo nilikua na wahi kwenye kikao cha muhimu nikaona acha nipige dili chapu halafu niwahi kwenye kikao, nikamwambia dereva tupande boda tuende sehemu ambako hakuna wapitaji wengi hapo nilikua naenda kujikaanga, tulipofika tukasimama wakaanza kunongonezanya wakaja kwangu, dereva eti huyu jamaa ananjaa inatakiwa utupe simu yako nikakataa akasema acha ujinga hapa tutapiga hela nyingi akataka nitoe password nikatumia fingerprint akanambia nitumie ya kawaida kumbe wananichota wanataka isije kuwasumbua kuformat, muda si muda simu wakachukua, hapo tulikua tumeshaficha vile almasi feki sehemu..
 
Bwana Mabula ulitapeliwa kizembe sana.
 
Ulipigwa kishamba sana
 
Back
Top Bottom