Bwana Mabula ulitapeliwa kizembe sana.Acha bwana Yoda nilikua natoka zangu shamba kuangalia mahindi, mara paah boda hii hapa na njemba mbili, dereva akaniita pembeni eti huyu jamaa (aliebebwa) wapata ajali huko walikua wanasafirisha dhahabu sasa anatafuta mtu anaeitwa mchungaji kwenye mtaa ambao nilikua nimefika nikiwa natoka shamba), ewana we si dereva wa boda akaniambia tufanye mpango tumzunguke huyo jamaa tuchukue hizo almasi nikajiingiza mkenge mimi mwenyewe, hapo nilikua na wahi kwenye kikao cha muhimu nikaona acha nipige dili chapu halafu niwahi kwenye kikao, nikamwambia dereva tupande boda tuende sehemu ambako hakuna wapitaji wengi hapo nilikua naenda kujikaanga, tulipofika tukasimama wakaanza kunongonezanya wakaja kwangu, dereva eti huyu jamaa ananjaa inatakiwa utupe simu yako nikakataa akasema acha ujinga hapa tutapiga hela nyingi akataka nitoe password nikatumia fingerprint akanambia nitumie ya kawaida kumbe wananichota wanataka isije kuwasumbua kuformat, muda si muda simu wakachukua, hapo tulikua tumeshaficha vile almasi feki sehemu..
Ulipigwa kishamba sanaAcha bwana Yoda nilikua natoka zangu shamba kuangalia mahindi, mara paah boda hii hapa na njemba mbili, dereva akaniita pembeni eti huyu jamaa (aliebebwa) wapata ajali huko walikua wanasafirisha dhahabu sasa anatafuta mtu anaeitwa mchungaji kwenye mtaa ambao nilikua nimefika nikiwa natoka shamba), ewana we si dereva wa boda akaniambia tufanye mpango tumzunguke huyo jamaa tuchukue hizo almasi nikajiingiza mkenge mimi mwenyewe, hapo nilikua na wahi kwenye kikao cha muhimu nikaona acha nipige dili chapu halafu niwahi kwenye kikao, nikamwambia dereva tupande boda tuende sehemu ambako hakuna wapitaji wengi hapo nilikua naenda kujikaanga, tulipofika tukasimama wakaanza kunongonezanya wakaja kwangu, dereva eti huyu jamaa ananjaa inatakiwa utupe simu yako nikakataa akasema acha ujinga hapa tutapiga hela nyingi akataka nitoe password nikatumia fingerprint akanambia nitumie ya kawaida kumbe wananichota wanataka isije kuwasumbua kuformat, muda si muda simu wakachukua, hapo tulikua tumeshaficha vile almasi feki sehemu..