Umewahi kutongoza demu mwenye muonekano wa kawaida akakukataa? Ulijisikiaje?

Umewahi kutongoza demu mwenye muonekano wa kawaida akakukataa? Ulijisikiaje?

Django Doer

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2023
Posts
2,865
Reaction score
5,184
Wakuu naombeni mnielezee kama imewahi kukutokea hii kitu yaani unajua kabisa kuwa hapa hachomoi ila ndo hivyo anakuchomolea alafu unakuta huyo huyo demu anamtongoza msela wa kawaida tu imewahi kukuta!

Mi binafsi sijawahi maana nina ego kubwa 🤣.
 
20250206_200431.jpg
 
Nilikasirika sana nilienda kupiga punyeto nane kwa lisaa!, kwasababu ile haikuwa kunikataa ni alinisukuma nikaanguka kwenye vumbi, niliogopa ku fight back maana kile kidada kilikuwa ni kibonge fulani ukijichanganya kikakukalia una hatihati yakukutana na israili mtoa roho!, hivyo kwa hasira nikaenda kukinyanyasa kiungo changu!.
 
Hahaha duuh pole watu hawakukucheka!9
 
Wakuu naombeni mnielezee kama imewahi kukutokea hii kitu yaani unajua kabisa kuwa hapa hachomoi ila ndo hivyo anakuchomolea alafu unakuta huyo huyo demu anamtongoza msela wa kawaida tu imewahi kukuta!!

Mi binafsi sijawahi maana nina ego kubwa 🤣m.
umewahi kujiuliza anakwepa usione au kujua nini ndani yake hadi anakukataa gentleman?🐒
 
Demu mwenye mwonekano wa kawaida ndo yukoje? Tuanzie hapo kwanza maana muonekano wa kawaida ni relative. Muonekano wa kawaida kwako kwangu yaweza kuwa ndiyo pisi kali; and vice versa.

Screenshot_20250208_230349_Instagram Lite.jpg

➡️➡️➡️ Binti anayejitambua na kujithamini huwa hakubali kuingia katika mahusiano hovyo hovyo hata kama siyo pisi kali maana anajua thamani yake (kwa asilimia 100) haitokani na ulimwende wa machoni bali destiny yake na utimizaji wa kusudi lake lililomleta hapa duniani. Hata uwe na vihela vyako na ki Range Rover chako kwa mabinti wa aina hii utachemsha. These type of girls tend to be very loyal maana huwa hawababaishwi na cho chote; na ni pure wife material japo huwa ni vigumu sana kuwaelewa. JF hapa nimeshakutana nao wawili. They are physically very gorgeous (according to my standards) lakini mtiti wake hasa ni huko upstairs. Super smart. Super complicated yet so sweet, simple, humble and extremely good friends. Ukimpata wa aina hii oa maana kwa sasa ni wachache sana!

#WosiaWaBabu.....
 
Back
Top Bottom