endesha
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,297
- 1,877
Sio for prostitutes..Mwanamke yoyote ana bei.Ya for prostitutes 😆
Ukiwa na pesa hutumii nguvu kutongoza.Utaangalia tu kitu ambacho hana,unampa zawadi..
Au unamtoa tu out sehemu classic.Ila kama unaenda kumsubiri kwenye vichochoro huko uanze kujitia huruma..Aaah!!