Umewahi kutongoza demu mwenye muonekano wa kawaida akakukataa? Ulijisikiaje?

Umewahi kutongoza demu mwenye muonekano wa kawaida akakukataa? Ulijisikiaje?

Inaumiza sana ila inanatkiwa utafute pesa ili nawewe uwe na jeur yalinikuta hayo
 
Wakuu naombeni mnielezee kama imewahi kukutokea hii kitu yaani unajua kabisa kuwa hapa hachomoi ila ndo hivyo anakuchomolea alafu unakuta huyo huyo demu anamtongoza msela wa kawaida tu imewahi kukuta!!

Mi binafsi sijawahi maana nina ego kubwa ๐Ÿคฃm.
Bwana mdogo tafuta hela acha kuwapigia hao mademu kelele.Mkono mtupu haulambwi.Babu zako enzi zao ndo walikuwa wanasoundisha demu na maneno matupu na hapo walikuwa wanapewa nyapu baada ya miaka mitatu ya kujilizaliza๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

kijana mdogo wewe tafuta hela,vaa vizuri kuwa na hirizi ya mjapani( gari). Hizo paka zitakuwa zinapishana getoni kwako kama unafuga panya.
 
Wakuu naombeni mnielezee kama imewahi kukutokea hii kitu yaani unajua kabisa kuwa hapa hachomoi ila ndo hivyo anakuchomolea alafu unakuta huyo huyo demu anamtongoza msela wa kawaida tu imewahi kukuta!!

Mi binafsi sijawahi maana nina ego kubwa ๐Ÿคฃm.
Wanawake wengi choka mbaya ni hovyo tu ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Sasa hakuna kukataliwa labda utafute ambao sio type yako
madogo hawana hela alafu wanajishirikisha na ngono???!!!

๐Ÿ“ŒNGONO=PESA
Unataka nyapu na bado unamkono wa birika pumbavu hizo nguvu za kusimamisha mademu hamishia kwenye kusaka HELA.
 
Wakuu naombeni mnielezee kama imewahi kukutokea hii kitu yaani unajua kabisa kuwa hapa hachomoi ila ndo hivyo anakuchomolea alafu unakuta huyo huyo demu anamtongoza msela wa kawaida tu imewahi kukuta!

Mi binafsi sijawahi maana nina ego kubwa ๐Ÿคฃ.
Kuna nilimtokea akaniambia wewe ulivyo handsome utanila na kunichamba na kukimbia kama alijua
 
Wakuu naombeni mnielezee kama imewahi kukutokea hii kitu yaani unajua kabisa kuwa hapa hachomoi ila ndo hivyo anakuchomolea alafu unakuta huyo huyo demu anamtongoza msela wa kawaida tu imewahi kukuta!

Mi binafsi sijawahi maana nina ego kubwa ๐Ÿคฃ.
kwani demu wa kawaida na msela wa kawaida ndio wanakuwaje kuna vitu dunia hii sio vya kuwaza sana kakukataa kwakua ww wa kawaida japo kuna kakiburi ka uhai kanakusumbua
 
Back
Top Bottom