MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
wana tunakataliwa na malaya na tunachukulia poa tu sembuse pisi mbovu? kawaida sana iyo 

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Mental health.Nje ya mada, hivi kwa nini mleta mada huwa una dislike kila mtu, kila comment?
Ni kweli kwenye uzi mzima kunakuwa hamna comment hata moja unayonipenda?
Hahaha babu kati ya hao wawili umemuoa yupi!?Demu mwenye mwonekano wa kawaida ndo yukoje? Tuanzie hapo kwanza maana muonekano wa kawaida ni relative. Muonekano wa kawaida kwako kwangu yaweza kuwa ndiyo pisi kali; and vice versa.
View attachment 3236949
➡️➡️➡️ Binti anayejitambua na kujithamini huwa hakubali kuingia katika mahusiano hovyo hovyo hata kama siyo pisi kali maana anajua thamani yake (kwa asilimia 100) haitokani na ulimwende wa machoni bali destiny yake na utimizaji wa kusudi lake lililomleta hapa duniani. Hata uwe na vihela vyako na ki Range Rover chako kwa mabinti wa aina hii utachemsha. These type of girls tend to be very loyal maana huwa hawababaishwi na cho chote; na ni pure wife material japo huwa ni vigumu sana kuwaelewa. JF hapa nimeshakutana nao wawili. They are physically very gorgeous (according to my standards) lakini mtiti wake hasa ni huko upstairs. Super smart. Super complicated yet so sweet, simple, humble and extremely good friends. Ukimpata wa aina hii oa maana kwa sasa ni wachache sana!
#WosiaWaBabu.....
Hahaha mkuu kuna sehemu nimesoma umezaa na lesbian je ni kweli!!wana tunakataliwa na malaya na tunachukulia poa tu sembuse pisi mbovu? kawaida iyo![]()
Navyosema demu wa kawaida namaanisha small booty avg face in short hana maajabu ya kustaajabisha!! /Demu mwenye mwonekano wa kawaida ndo yukoje? Tuanzie hapo kwanza maana muonekano wa kawaida ni relative. Muonekano wa kawaida kwako kwangu yaweza kuwa ndiyo pisi kali; and vice versa.
View attachment 3236949
➡️➡️➡️ Binti anayejitambua na kujithamini huwa hakubali kuingia katika mahusiano hovyo hovyo hata kama siyo pisi kali maana anajua thamani yake (kwa asilimia 100) haitokani na ulimwende wa machoni bali destiny yake na utimizaji wa kusudi lake lililomleta hapa duniani. Hata uwe na vihela vyako na ki Range Rover chako kwa mabinti wa aina hii utachemsha. These type of girls tend to be very loyal maana huwa hawababaishwi na cho chote; na ni pure wife material japo huwa ni vigumu sana kuwaelewa. JF hapa nimeshakutana nao wawili. They are physically very gorgeous (according to my standards) lakini mtiti wake hasa ni huko upstairs. Super smart. Super complicated yet so sweet, simple, humble and extremely good friends. Ukimpata wa aina hii oa maana kwa sasa ni wachache sana!
#WosiaWaBabu.....
Wapo sanaakuna demi wa kawaida
Ooh kwa maana kuwa I'm higher value sio!?inakua hivi,
akikutazama na kukutathmini value yako ilivyo kubwa, akijilinganisha na yake in and out
anajikuta hustahili kuona au kutumia kitu chake chochote, afadhali adili na wenye value ya aina yake 🐒
unashangaa mimi kuzaa na lesbian wakati wahuni wanazaa na tomboyzHahaha mkuu kuna sehemu nimesoma umezaa na lesbian je ni kweli!!
yes ,Ooh kwa maana kuwa I'm higher value sio!?
Malaya anakukataaa aloooh wee kweli una gunduwana tunakataliwa na malaya na tunachukulia poa tu sembuse pisi mbovu? kawaida sana iyo![]()
Kama motivation ya kutafuta hela ndo kuzitumia careless to satisfy your lust, basi ni bora usizitafute tu. Tena na hivi Trump hatoi tena Arv's za bure utaishia pabaya tu.Tafuta hela kwa wivu mkubwa, siku hizi watu hawatongozi
noma sana mkuuMalaya anakukataaa aloooh wee kweli una gundu
😂Nilikasirika sana nilienda kupiga punyeto nane kwa lisaa!, kwasababu ile haikuwa kunikataa ni alinisukuma nikaanguka kwenye vumbi, niliogopa ku fight back maana kile kidada kilikuwa ni kibonge fulani ukijichanganya kikakukalia una hatihati yakukutana na israili mtoa roho!, hivyo kwa hasira nikaenda kukinyanyasa kiungo changu!.
Balaaaa aisee gundu hilo sijui ukaoge maji ganinoma sana mkuu
furahisha genge tu mkuuBalaaaa aisee gundu hilo sijui ukaoge maji gani
Mimi mwenzenu hadi malaya ananikataa hivi nina shida gani wakuu.Wakuu naombeni mnielezee kama imewahi kukutokea hii kitu yaani unajua kabisa kuwa hapa hachomoi ila ndo hivyo anakuchomolea alafu unakuta huyo huyo demu anamtongoza msela wa kawaida tu imewahi kukuta!!
Mi binafsi sijawahi maana nina ego kubwa 🤣m.
Kama kuna mwingine ame download hako kapicha ka huyo mrembo gonga like hapa! 🤣🤣🤣