Huyo demu hajakutana na wandewa.Atanasa tu na anapigwa kata funua kama kawaida.THIS HOES AINT LOYAL TO NO BODY BUT THEIR FEELINGS!!!Demu mwenye mwonekano wa kawaida ndo yukoje? Tuanzie hapo kwanza maana muonekano wa kawaida ni relative. Muonekano wa kawaida kwako kwangu yaweza kuwa ndiyo pisi kali; and vice versa.
View attachment 3236949
➡️➡️➡️ Binti anayejitambua na kujithamini huwa hakubali kuingia katika mahusiano hovyo hovyo hata kama siyo pisi kali maana anajua thamani yake (kwa asilimia 100) haitokani na ulimwende wa machoni bali destiny yake na utimizaji wa kusudi lake lililomleta hapa duniani. Hata uwe na vihela vyako na ki Range Rover chako kwa mabinti wa aina hii utachemsha. These type of girls tend to be very loyal maana huwa hawababaishwi na cho chote; na ni pure wife material japo huwa ni vigumu sana kuwaelewa. JF hapa nimeshakutana nao wawili. They are physically very gorgeous (according to my standards) lakini mtiti wake hasa ni huko upstairs. Super smart. Super complicated yet so sweet, simple, humble and extremely good friends. Ukimpata wa aina hii oa maana kwa sasa ni wachache sana!
#WosiaWaBabu.....
Demu akikukazia wewe sio kigezo kuwa haliki.Ila ni wewe huna mbinu.Demu yoyote analika ikiwa kama moves zako ziko calculated.
📌📌📌Ndomaana nawaambia madogo tafuteni hela,vaeni vizuri nukia smart,kuwa na confidence,mind your business(punguzeni shobo),getto kali kama la ngwea.Mwisho kabisa usiwe na pupa.Hakuna paka itakatiza kwenye mtego wako na akafanikiwa kutonasa.
🚨Kuna mademu nilijilia bila kutongoza sababu tu ya kutokuwa na shobo(minding my business)vijana wengi wa afu mbili hii mbinu mnaichukulia poa ila ni mbinu KABAMBE!!
