Umewahi kutumia muda gani mrefu kufukuzia Mwanamke?

Mwanaume unayejiamini na umekamilika unafukuziaje demu mwezi mzima?

Yaani hizo siku zote unaongea nini?

Wanaume tunatongoza demu mwisho siku 3 ...kuendelea zaidi ya hapo ni yale yale kwamba "...nilimkubalia tu ili asiendelee kunisumbua..."
 
Huo muda wa kufukuzia manzi sina. Nafikiri ndio sababu napendelea zaid watu wazima wenzangu.
Ahahaha.
Last time nikiwa mkoa flan napata breakfast hoteli, nikamwelewa madam aliyenihudumia maana alikua clasic tifaut na wengine, nisijue kumbe ndio mmiliki.

Nilipomaliza sikutaka kuita aje achukue pesa , nikainuka nishaandaa biznes card yangu, nikamsogelea kaunta nikalipa nikiambatanisha biznes card yangu huku namtazama straight machoni ,yeye kisha card , sikuongea neno jingine lolote nikasepa kuendelea na yaliyonipelekea

After 2 days she called. Hatukua na mambo mengi, ikaisha kihivyo. Alikua mtamu kishenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…