Huo muda wa kufukuzia manzi sina. Nafikiri ndio sababu napendelea zaid watu wazima wenzangu.
Ahahaha.
Last time nikiwa mkoa flan napata breakfast hoteli, nikamwelewa madam aliyenihudumia maana alikua clasic tifaut na wengine, nisijue kumbe ndio mmiliki.
Nilipomaliza sikutaka kuita aje achukue pesa , nikainuka nishaandaa biznes card yangu, nikamsogelea kaunta nikalipa nikiambatanisha biznes card yangu huku namtazama straight machoni ,yeye kisha card , sikuongea neno jingine lolote nikasepa kuendelea na yaliyonipelekea
After 2 days she called. Hatukua na mambo mengi, ikaisha kihivyo. Alikua mtamu kishenzi