Jamani daaa!bora hao wanaonesha kuto furahia.. Maana after that uta wakwepa. Kuliko wale wanaofurahia kinafiki halafu ukiondoka wana ku mind..
Nakumbuka nilipokuwa form 2..
Miaka ile 90 mwishoni mwishoni...
kutoboa kwenda form three ilikuwa nongwa.. Basi tokeo lime toka kuona nme faulu na nina vigezo vya kwenda science basi mimi mbiooo kwa mjomba... Mjomba hakuwepo home, nka mkuta shangazi, nkajieleza pale kuwa nme faulu, na nmekuja kumpa hi uncle ... Daah shangazi alinitolea shombo... in short ali tafsiri kama nmekuja kuomba Ada
Asante MkuuNakwambia kama unandoto yako share na aliyekuzidi mnaolingana wengi wao huwa wanyimi wanaroho mbaya hawapendi uwazidi..unaweza kuwa na waz zuri sana ukishare na mpumbavu atatanguliza changamoto badala ya mafanikio ili tu ukate tamaa..ukianzisha biashara usitegemee watu mnaofahamiana nao watakusupport sana watakukopa na hawatalipa,anzisha kiwanda watataka waone bidhaa zako zinachuana na baresa au moo sokoni otherwise wataunderate bidhaa zako..unaweza mfata role modal wako katuka ndoto yako akupe walau mwanga ili na wewe ujikwamue ukifikie walau robo yakile ulichodhamiria na akakupotezea... so changamoto ni nyingi kufikia matarajio ya malengo yako BILA MOYO MKUU WA WEWE BINAFSI MBEBA MAONO HUTOBOI vikwazo ni vingi kuliko mafanikio jipe moyo mkuu pambania ndoto yako hiki ndicho ninachokiishi
kwahiyo tunakuwa na mapepo