bora hao wanaonesha kuto furahia.. Maana after that uta wakwepa. Kuliko wale wanaofurahia kinafiki halafu ukiondoka wana ku mind..
Nakumbuka nilipokuwa form 2..
Miaka ile 90 mwishoni mwishoni...
kutoboa kwenda form three ilikuwa nongwa.. Basi tokeo lime toka kuona nme faulu na nina vigezo vya kwenda science basi mimi mbiooo kwa mjomba... Mjomba hakuwepo home, nka mkuta shangazi, nkajieleza pale kuwa nme faulu, na nmekuja kumpa hi uncle ... Daah shangazi alinitolea shombo... in short ali tafsiri kama nmekuja kuomba Ada