sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Achana kabisa na addiction ya sigara.
Nakumbuka nilifikia kijiji flani nikiwa nimesahau pakiti yangu ya sigara niliyopanga kuitumia kwa muda ntaokuwepo hapo kijijini.
Palikuwa ni bush sana na hata maduka machache yaliyopo hawakuuza sigara .
Ilinibidi nitembee mwendo wa lisaa na nusu kufikia duka wanalouza sigara, kurudi nako ni mwendo wa lisaa na nusu.
hio upatikanaji wake ni rahisi sana, labda uishi mwenyewe milimaniUngeweka addiction ya mbunye uzi ungekuwa unapepea sasa hivi...edit heading hiyo uone
Sio kila mbunye inapatikana kirahis...watu wanatoka mkoa mmoja kwenda mwingine kuifata mbunye,na apo sio kwamba mkoa aliopo hazipo....mtu anatoka mbweni anaenda kigamboni sio kwamba maeneo ya mbweni na karibu hakuna mbunye au dushe kwa wadada....hio upatikanaji wake ni rahisi sana, labda uishi mwenyewe milimani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungeweka addiction ya mbunye uzi ungekuwa unapepea sasa hivi...edit heading hiyo uone
Nakuelewa sana Sigara Ina utamu wake kwa mvutaji Ila wahindi na wachina ni magari Moshi wanavuta Sigara sio poa wale jamaa all the time wapo kwenye tanuri la Moshi yaan ni kuvuta na kuvuta na kuvuta,Achana kabisa na addiction ya sigara.
Nakumbuka nilifikia kijiji flani nikiwa nimesahau pakiti yangu ya sigara niliyopanga kuitumia kwa muda ntaokuwepo hapo kijijini.
Palikuwa ni bush sana na hata maduka machache yaliyopo hawakuuza sigara.
Ilinibidi nitembee mwendo wa lisaa na nusu kufikia duka wanalouza sigara, kurudi nako ni mwendo wa lisaa na nusu.