Umewahi kwenda umbali gani mrefu ama kupoteza muda kiasi gani ili kutuliza kiu ya sigara, pombe au uraibu mwengine?

Umewahi kwenda umbali gani mrefu ama kupoteza muda kiasi gani ili kutuliza kiu ya sigara, pombe au uraibu mwengine?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Achana kabisa na addiction ya sigara.

Nakumbuka nilifikia kijiji flani nikiwa nimesahau pakiti yangu ya sigara niliyopanga kuitumia kwa muda ntaokuwepo hapo kijijini.

Palikuwa ni bush sana na hata maduka machache yaliyopo hawakuuza sigara.

Ilinibidi nitembee mwendo wa lisaa na nusu kufikia duka wanalouza sigara, kurudi nako ni mwendo wa lisaa na nusu.
 
20230826_162219.jpg
 
Achana kabisa na addiction ya sigara.

Nakumbuka nilifikia kijiji flani nikiwa nimesahau pakiti yangu ya sigara niliyopanga kuitumia kwa muda ntaokuwepo hapo kijijini.

Palikuwa ni bush sana na hata maduka machache yaliyopo hawakuuza sigara .

Ilinibidi nitembee mwendo wa lisaa na nusu kufikia duka wanalouza sigara, kurudi nako ni mwendo wa lisaa na nusu.

Back in days nilikuwa na wadau wangu maeneo ya mkoa wa Songea ndani ndani uko, sasa tulikuwa tuna uhitaji wa pombe, sigara na mtipombe(bangi) aisee tulitembea umbali mrefu sana kuzitafuta na ilikuwa jioni karibia na kigiza giza kuingia haswa sigara yani ni kijiji kingine kabisaa, hii arosto sio poa mkuu.
 
hio upatikanaji wake ni rahisi sana, labda uishi mwenyewe milimani
Sio kila mbunye inapatikana kirahis...watu wanatoka mkoa mmoja kwenda mwingine kuifata mbunye,na apo sio kwamba mkoa aliopo hazipo....mtu anatoka mbweni anaenda kigamboni sio kwamba maeneo ya mbweni na karibu hakuna mbunye au dushe kwa wadada....
 
Achana kabisa na addiction ya sigara.

Nakumbuka nilifikia kijiji flani nikiwa nimesahau pakiti yangu ya sigara niliyopanga kuitumia kwa muda ntaokuwepo hapo kijijini.

Palikuwa ni bush sana na hata maduka machache yaliyopo hawakuuza sigara.

Ilinibidi nitembee mwendo wa lisaa na nusu kufikia duka wanalouza sigara, kurudi nako ni mwendo wa lisaa na nusu.
Nakuelewa sana Sigara Ina utamu wake kwa mvutaji Ila wahindi na wachina ni magari Moshi wanavuta Sigara sio poa wale jamaa all the time wapo kwenye tanuri la Moshi yaan ni kuvuta na kuvuta na kuvuta,

Alafu kuna Safari moja nilidandia Gari moja nikiwa Kilimanjaro dereva alikua anakuja Dar ebwana yule jamaa alikua anavuta Sigara sio poa alikua na packet 4 za embassy hadi tunafika chalinze packets zote zimekata yaan alikua anafanya weka tuweke alafu Gari linatembea usiku alibeba tenga za matikiti na nyanya anazileta Dar, jamaa alikua anavuta Sigara hadi nilikua namuonea huruma
 
Back
Top Bottom