sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Achana kabisa na addiction ya sigara.
Nakumbuka nilifikia kijiji flani nikiwa nimesahau pakiti yangu ya sigara niliyopanga kuitumia kwa muda ntaokuwepo hapo kijijini.
Palikuwa ni bush sana na hata maduka machache yaliyopo hawakuuza sigara.
Ilinibidi nitembee mwendo wa lisaa na nusu kufikia duka wanalouza sigara, kurudi nako ni mwendo wa lisaa na nusu.