Umewahi safiri umbali gani kufuata penzi?

Umewahi safiri umbali gani kufuata penzi?

[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
heheheeeeee wee jamaaa hatari sana yaani ulijiona una mkosi ukaamua ujilipue kwa mganga kusafisha nyota daaa hongera lakini maadam baada ya kusafisha nyota mbusus zilijileta zenyewe,,,ulikuwa unagawa dozi ngap ngap kwa kila moja??
 
Nashukuru aliyenisafirisha umbalii mrefu ndio huyu mtarajiwa, wengine woote iilikuwa inawabidi wanifate tu kigamboni..
Mara chache (2)nimetoka kigambon kwenda Kariakoo kwa shamsa toto la kiarabu, huyu ni baada ya kunikubalia ombi langu na mara ya pili baada kunieleza kamisi ila hana nafasi ya kuja mpaka mtaani, nikajisogeza hukj
Na mara chache kutoka DIT kwenda kawe kwa mrembo teddy.. Huyu mdada alikuwa anajitoa saana toka kawe to kigamboni karibia kila week.
weee kamanda umenikumbusha aisee,, hata mie nilikula mbususu kadhaa wakati nafanya project kigamboni Vijibweni nilipangishiwa nyumba na kampuni,,basi ipo ilikuja kutoka kawe, nyingine Tabata, nyingne kimara suka, nyingne kutoka ila ile ya kimaraSuka ilikuwa bomba sana. Si hilo tu hata mie nilizifuata mbususu huko usukumani Mwanza kwetu, kutoka kijij kwenda kijij kingine mbaaal usiku na kurudi usk nikaambulia patup haikufungua mlango nikaishia kupishana na mifisi na vinyama fulani vikali kwny vichaka nikikumbuka nasema Mungu tu ndo alikinga na hatari ile....
 
pole sana UTI sugu ni hatari kwa afya ya figo,na unaua uwezo wa figo,,
Yalinikuta bro, Nshajifunza aisee mademu wana maradhi mengi mno kwenye K usipokua makini ni kama ajali tu unajikuta umeyabeba..
 
weee kamanda umenikumbusha aisee,, hata mie nilikula mbususu kadhaa wakati nafanya project kigamboni Vijibweni nilipangishiwa nyumba na kampuni,,basi ipo ilikuja kutoka kawe, nyingine Tabata, nyingne kimara suka, nyingne kutoka ila ile ya kimaraSuka ilikuwa bomba sana. Si hilo tu hata mie nilizifuata mbususu huko usukumani Mwanza kwetu, kutoka kijij kwenda kijij kingine mbaaal usiku na kurudi usk nikaambulia patup haikufungua mlango nikaishia kupishana na mifisi na vinyama fulani vikali kwny vichaka nikikumbuka nasema Mungu tu ndo alikinga na hatari ile....
Mungu habagui, unafanya ushenzi na anakulinda
 
Komakoma to Sinza
Dar to Z.bar
Dar to Tarime
Dar to Chato
Dar to Tunduru
Dar to Lindi
Dar to Bukoba
Dar to Karagwe
Dar to Mwanza
Dar to Mbeya
Dar to Arusha
Dar to Moshi
Dar to Mererani
Dar to Singida
Dar to Dom
Dar to Matema beach Kyela
Dar to Nakuru
Dar to Songea
Dar to Mtwara
Dar to Newala
Dar to Geita
Wengine nilishasahau hizo route.
Ila mapenzi na tamaa zinatutesa sana wanaume japo inatuweka active kutafuta pesa.
 
Vitoto vya shinyanga au Mwanza mkuu?
Nilipigishwa route Dar to Arusha, nikafika Nyambu ikaingia mitini ikabidi niende Moshi kufata nyingine nayo ikanipiga chenga ya mwili.

Kabla sijageuka Dar nikaombwa msamaha nirudi Arusha kuifata tena Napo ikanichezea Mchezo.

Nikafunga Safari mpaka Tanga kwa jamaa yangu akanipeleka kwa Dokta kupiga Tunguli nikarudi Dar.

Baada ya Wiki mbili Mbususu zote ziliwasili Dar kwa Nauli zao nikajilia saafi.
[emoji23][emoji23][emoji870]
 
Komakoma to Sinza
Dar to Z.bar
Dar to Tarime
Dar to Chato
Dar to Tunduru
Dar to Lindi
Dar to Bukoba
Dar to Karagwe
Dar to Mwanza
Dar to Mbeya
Dar to Arusha
Dar to Moshi
Dar to Mererani
Dar to Singida
Dar to Dom
Dar to Matema beach Kyela
Dar to Nakuru
Dar to Songea
Dar to Mtwara
Dar to Newala
Dar to Geita
Wengine nilishasahau hizo route.
Ila mapenzi na tamaa zinatutesa sana wanaume japo inatuweka active kutafuta pesa.
sawa feruz[emoji23]
 
enzi za ujana niliwahi kusafiri kutoka dar es salaam kwenda geita kwaajili ya mbususu....safari ilikuwa ngumu enzi hizo mabasi yalikuwa yanaanza safari saa 11 alfajiri sikuwa nalijua hilo...nikachelewa kufika ubungo nikakuta gari Lushanga ndio inaondoka ilikuwa saa 12:30 hivi

safari ilianza vyema lakini basi lilikuwa alikimbii kabisa, baadae mvua ilinyesha kumbe lile basi lilikuwa linavuja nikawa nina kibarua cha kuhamia sehemu nyingine pindi mvua ikiwa inanyesha.

tulipo fika kwenye njia za vumbi pia hali ikawa tofauti lile gari lilikuwa kwa chini sehemu niliyokuwa nimekaa ile sehemu yenye muinuko wa tairi la nyuma kulikuwa na matobo hivyo vumbi lilikuwa linaingia ndani, kiukweli safari ilikuwa ya fedheha sana kwani abiri tulichafuka.

tulifka katoro saa 7 usiku dereva akagoma kuendelea na safari ikatulazimu tulale pale hadi alfajiri...

ndipo tulipoendelea na safari, mwenyeji wangu alinielekeza anapo patikana nikamuendea, nilifurahia mandhari ya kule haswa ule usafiri wa daladala za kule {baiskeli},

tulikulana sana na yule binti wiki nzima na baridi la kule lilikuwa linahamasisha kusuguana yani kilichokuwa kinatuokoa ni usingizi lakini kama kusingekuwa na usingizi haki tungekuwa tunasuguana usiku kucha....ajabu ni kuwa tukiwa kati kati ya mchezo manzi alikuwa ananiambia nimpeleke chooni though sikuwa najua anamaana gani hivyo siku wahi kumpeleka chooni...

wiki nzima niliyokaa kule ilikuwa ya furaha sana kwangu...lakini siku niliyoondoka ndio siku iliyokuwa ya maumivu sana kwangu, ni maumivu ambayo hadi leo sijapona yule binti alikata mawasiriaano na mimi kabisa hadi leo bado najiuliza nilimkoseaga nini ambacho akisameheki.

Rose enh ivi nimeshaelewa maana ya kukupeleka chooni njoo nikupeleke
Dunia Ina Mambo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mbali na kufuata je kwa wewe mwanaume umewahi kufuatwa?
Binafsi nimewahi kufuatwa mara kadhaa..
Safari ndefu nilizofuatwa ni.
1. Dar to Dom
2. Dom to Mwanza
3. Babati to Morogoro
4. Bariadi to Tabora
5. Morogoro to Tabora

Hapo safari fupi za ndani ya Mkoa zipo nyingi sana.
 
Kuna mtu nki m tagi apa tutaishia kugombana [emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom