Umewahi safiri umbali gani kufuata penzi?

[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
heheheeeeee wee jamaaa hatari sana yaani ulijiona una mkosi ukaamua ujilipue kwa mganga kusafisha nyota daaa hongera lakini maadam baada ya kusafisha nyota mbusus zilijileta zenyewe,,,ulikuwa unagawa dozi ngap ngap kwa kila moja??
 
weee kamanda umenikumbusha aisee,, hata mie nilikula mbususu kadhaa wakati nafanya project kigamboni Vijibweni nilipangishiwa nyumba na kampuni,,basi ipo ilikuja kutoka kawe, nyingine Tabata, nyingne kimara suka, nyingne kutoka ila ile ya kimaraSuka ilikuwa bomba sana. Si hilo tu hata mie nilizifuata mbususu huko usukumani Mwanza kwetu, kutoka kijij kwenda kijij kingine mbaaal usiku na kurudi usk nikaambulia patup haikufungua mlango nikaishia kupishana na mifisi na vinyama fulani vikali kwny vichaka nikikumbuka nasema Mungu tu ndo alikinga na hatari ile....
 
pole sana UTI sugu ni hatari kwa afya ya figo,na unaua uwezo wa figo,,
Yalinikuta bro, Nshajifunza aisee mademu wana maradhi mengi mno kwenye K usipokua makini ni kama ajali tu unajikuta umeyabeba..
 
Mungu habagui, unafanya ushenzi na anakulinda
 
Komakoma to Sinza
Dar to Z.bar
Dar to Tarime
Dar to Chato
Dar to Tunduru
Dar to Lindi
Dar to Bukoba
Dar to Karagwe
Dar to Mwanza
Dar to Mbeya
Dar to Arusha
Dar to Moshi
Dar to Mererani
Dar to Singida
Dar to Dom
Dar to Matema beach Kyela
Dar to Nakuru
Dar to Songea
Dar to Mtwara
Dar to Newala
Dar to Geita
Wengine nilishasahau hizo route.
Ila mapenzi na tamaa zinatutesa sana wanaume japo inatuweka active kutafuta pesa.
 
Vitoto vya shinyanga au Mwanza mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji870]
 
sawa feruz[emoji23]
 
Dunia Ina Mambo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mbali na kufuata je kwa wewe mwanaume umewahi kufuatwa?
Binafsi nimewahi kufuatwa mara kadhaa..
Safari ndefu nilizofuatwa ni.
1. Dar to Dom
2. Dom to Mwanza
3. Babati to Morogoro
4. Bariadi to Tabora
5. Morogoro to Tabora

Hapo safari fupi za ndani ya Mkoa zipo nyingi sana.
 
Kuna mtu nki m tagi apa tutaishia kugombana [emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…