Umewahi shuhudia mtu akifa mbele yako ghafla na hukuamini?

Asee [emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji1787] sipati picha mwisho wa yote wale walio baki na mwili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Pole sana mkuu, ukiwa health work inabidi usiwe na sympathy kabisa maana unaweza ukakimbia clinical area, utaonea huruma wangapi? Utalilia wangapi?
Ukiwa daktari mwenye wito (siyo wale wakulazimishwa kurithi kazi kwamba kwa sababu baba alikuwa doctor lazima mtoto uwe doctor) lazima utakuwa na huruma huwezi kukosa au kufanya hayo niliyoya-bold maana kazi ya kuokoa uhai wa mtu naamini ina twawabu kubwa sana.

Dr ukishajitenga na "huruma" wewe siyo daktari ni bora ukaacha hiyo kazi,mtu kufa ni matokeo muhimu wewe simama kwa nafasi yako tumia kile umebarikiwa na Mungu kumsaidia,naweza kuwa siujui ugumu wa kazi yenu ila tuvumiliane.
 
Yap hupo sahihi.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hapo kwenye kumshtua ndio ulikuwa umuue kabisa Mkuu
 
Alimtulizaje?
 
Hii ajali ilitokea pale maeneo ya 8-8 morogoro
 
Wengi sana![emoji3166][emoji848] Nasubiri zamu yangu
 
Nilipita kwenye uchochoro usiku giza Totoro natembea nikakanyaga maiti nilijua mlevi kadondoka nikamdondokea kumbe alichinjwa shingo macho yangu yakawa kwenye shingo yake alipochinjiwa.
 
Kumbe una gari!
 
Nilipita kwenye uchochoro usiku giza Totoro natembea nikakanyaga maiti nilijua mlevi kadondoka nikamdondokea kumbe alichinjwa shingo macho yangu yakawa kwenye shingo yake alipochinjiwa.
Mmh aisee hatarii sanaaa...!!
 
Kipindi cha korona ilikua ni mwendo wa K vant,Gongo na Konyagi.Basi likizo ndefu toka Uhuru ikawa ni kunywa,kula na kulala.Kuna msukuma jamaa angu akaniomba awe anakaa chumba kimoja kilikua wazi.Jamaa akaanza kuugua wiki nzima na Mimi nilikua busy na mishe za job town.Jamaa alizidiwa sana.Nduguze walikuja ila akakataa kuondoka kwangu.Kesho yake akazidiwa zaidi nikawapigia tukampeleka hospitali.Yule Jamaa alibanwa na kitu inaitwa Ngiri.Jamaa alifia hospitali.Ule msala mazee angefia kwangu ingekua issue ngumu.Yasikie kwa wenzako ila omba yasikukute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…