Umewahi shuhudia mtu akifa mbele yako ghafla na hukuamini?

Pale hospital flani, nimewahi kushuhudia mtu kaletwa akiwa fit, ila baada ya siku tatu alikufa kwa kukosa chakula na mwangalizi mbele ya macho yangu.

Pemben ya godoro lake alipofia kulikua na chupa moja ya maji aliyoletwa nayo toka siku ya kwanza na ajawahi gusa hata tone moja mpaka kufa kwake.

Kifo ni kigumu,alikuwa anakoroma sauti ya ajabu usiku kucha,macho kayatoa ya kutisha,manesi wanampita bila habari wala kujal mpaka umauti ukamchukua palepale akiwa alipokua toka siku ya kwanza.

Maisha hayana thamani...
Tusisahau kuomba mwisho mwema kwa Muumba wetu.
 
Kwanini hukumsaidia chakula mkuu
 
Alisimulia kitu gani kiliwatokea?
 
Alisimulia kitu gani kiliwatokea?
Kuna sehemu maji yalikuwa yanazunguka,asa wakawa wanavutwa miguu wenzie wakazidiwa wakachoka,waka muaga wakasema tutaonana Mungu akipenda sisi tumeeshindwa kujiokoa.Basi wakadidimia chini Kila momoja kwa dk zake.Yy alijitahid akawa ameng'ang'ania kamba ya mtumbwi nazani huwa wanaegesha wavuvi kule katit kati ka ushawahi kwenda baharan utakuwa umeelewa.Kwaufupi tumewashuhudia wakifata kifo,mpka wanazama tunawaona maana hatukuweza kuwaokoa walienda mbali sanaaa,mpaka wanaletwa na mawimbi maskini tunawaona,mmoja mpaka mapovu yanamtoka kafa machoni kwetu tunawaona
 
Waangalizi ndio hao wasiojali! Yaani ni kinyume kabisa cha jila la nurse!
 
Hakuna bora wala nini. Nilibaki na taswira mbaya sana mpaka sasa
Uliona ni Kheri usingeagana na mtoto wako? Je ndio sababu alikuwa hospitali ilhali ulikuwa nyumbani?
 
Bad memory! Kuna siku nipo zangu Ubungo pale riverside nataka kuvuka upande wa pili m, barabara ya kwanza nikavuka, nikawakuta wenzangu wengiwengi tu wanatafuta gap wamalizie barabara ya pili wavuke. Sasa kuna mmama mmoja ‘may her soul rest in peace’ alidhani gari iko mbali, aisee kitu kililia puuuu! Semi ilimburuta ikamwacha kwa mbele damu inatiririka tu barabarani na maisha yake yaliishia pale. Niliumia sana moyoni, nikarudi geto kulala siku hiyo sikutoka.
 
2020/5/1 saa 11 asubuhi nilimpoteza kaka yangu nikiwa nampa uji. aliniambia ngoja kupambazuke kumbe ilikuwa uongo. Sijui nitakufaje!
 
Uliona ni Kheri usingeagana na mtoto wako? Je ndio sababu alikuwa hospitali ilhali ulikuwa nyumbani?
Hospitali ya KCMC hauwezi kukaa wodini na mtoto mgonjwa. Huwa wanawekwa kwenye uangalizi chumba maalum. BTW alikuwa ICU ulitaka nikalale naye huko?
Na je kuagana naye ilisaidia nini?
 
Hospitali ya KCMC hauwezi kukaa wodini na mtoto mgonjwa. Huwa wanawekwa kwenye uangalizi chumba maalum. BTW alikuwa ICU ulitaka nikalale naye huko?
Na je kuagana naye ilisaidia nini?
Kaka angu nakuomba. Achana na sisi humu kabisa. Kuna kaupumbavu tunako na bado hatujakua. Ukute anacomment kutoka kwa shemeji yake. Kwa heshima ya mtoto wetu (REST IN PEACE LOVELY SOUL), just ignore kila fool atakaetaka kukuudhi.
 
Hospitali ya KCMC hauwezi kukaa wodini na mtoto mgonjwa. Huwa wanawekwa kwenye uangalizi chumba maalum. BTW alikuwa ICU ulitaka nikalale naye huko?
Na je kuagana naye ilisaidia nini?
Pole kwa kumpoteza mtoto,lakini pia usingemuaga ungeumia zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…