KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 1,955
- 2,465
Uoni ila labda kusikiaSijawahi na naomba isinitokee kabisa. Hivi ikifika hii hatua mtu unakuwa unawaona au vipi?
Can't wait to find out when I die
View attachment 2379823
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uoni ila labda kusikiaSijawahi na naomba isinitokee kabisa. Hivi ikifika hii hatua mtu unakuwa unawaona au vipi?
Can't wait to find out when I die
View attachment 2379823
Kwanini hukumsaidia chakula mkuuPale hospital flani, nimewahi kushuhudia mtu kaletwa akiwa fit, ila baada ya siku tatu alikufa kwa kukosa chakula na mwangalizi mbele ya macho yangu.
Pemben ya godoro lake alipofia kulikua na chupa moja ya maji aliyoletwa nayo toka siku ya kwanza na ajawahi gusa hata tone moja mpaka kufa kwake.
Kifo ni kigumu,alikuwa anakoroma sauti ya ajabu usiku kucha,macho kayatoa ya kutisha,manesi wanampita bila habari wala kujal mpaka umauti ukamchukua palepale akiwa alipokua toka siku ya kwanza.
Maisha hayana thamani...
Tusisahau kuomba mwisho mwema kwa Muumba wetu.
Hakuna bora wala nini. Nilibaki na taswira mbaya sana mpaka sasaNi bora umepigiwa simu, mtoto amekuona na kukushika kwa mara ya mwisho.
Kwa hiyo hii post inajadili magari? Ficha upumbavu wako kidogo tuKumbe una gari!
KaniudhiKwa hiyo hii post inajadili magari? Ficha upumbavu wako kidogo tu
Nimeshapoa mkuu. Mchukulie poa tu.Kaniudhi
Pole kaka
Alisimulia kitu gani kiliwatokea?Nilishuhudia wanafunzi wenzangu kwa kipindi hicho hapa boko basihaya(mahaba beach)tulikuwa na utaratibu wa kwenda beach Kila ijumaa,jaman wenzetu watatu walikufa tunawaona ila mmoja alie nusurika akaja kusema yalio tokea huko kwenye maji.Huwa naumia mpka leo maana walikuwa na furaha sana ile siku,walivaa jezi sare za blue wate watatu,na walikuwa wameshikana mikono.Nasiku wanaripoti shule wali letwa na familia zao wate ni Kama walikuja kuwaaga.Pengine saivi I wangekuwa na familia zao
Kuna sehemu maji yalikuwa yanazunguka,asa wakawa wanavutwa miguu wenzie wakazidiwa wakachoka,waka muaga wakasema tutaonana Mungu akipenda sisi tumeeshindwa kujiokoa.Basi wakadidimia chini Kila momoja kwa dk zake.Yy alijitahid akawa ameng'ang'ania kamba ya mtumbwi nazani huwa wanaegesha wavuvi kule katit kati ka ushawahi kwenda baharan utakuwa umeelewa.Kwaufupi tumewashuhudia wakifata kifo,mpka wanazama tunawaona maana hatukuweza kuwaokoa walienda mbali sanaaa,mpaka wanaletwa na mawimbi maskini tunawaona,mmoja mpaka mapovu yanamtoka kafa machoni kwetu tunawaonaAlisimulia kitu gani kiliwatokea?
Waangalizi ndio hao wasiojali! Yaani ni kinyume kabisa cha jila la nurse!Pale hospital flani, nimewahi kushuhudia mtu kaletwa akiwa fit, ila baada ya siku tatu alikufa kwa kukosa chakula na mwangalizi mbele ya macho yangu.
Pemben ya godoro lake alipofia kulikua na chupa moja ya maji aliyoletwa nayo toka siku ya kwanza na ajawahi gusa hata tone moja mpaka kufa kwake.
Kifo ni kigumu,alikuwa anakoroma sauti ya ajabu usiku kucha,macho kayatoa ya kutisha,manesi wanampita bila habari wala kujal mpaka umauti ukamchukua palepale akiwa alipokua toka siku ya kwanza.
Maisha hayana thamani...
Tusisahau kuomba mwisho mwema kwa Muumba wetu.
Uliona ni Kheri usingeagana na mtoto wako? Je ndio sababu alikuwa hospitali ilhali ulikuwa nyumbani?Hakuna bora wala nini. Nilibaki na taswira mbaya sana mpaka sasa
Amen Man Of GodTuwaombee waliotangulia Allah awape pumziko Jema na awasamehe Dhambi zao
Hospitali ya KCMC hauwezi kukaa wodini na mtoto mgonjwa. Huwa wanawekwa kwenye uangalizi chumba maalum. BTW alikuwa ICU ulitaka nikalale naye huko?Uliona ni Kheri usingeagana na mtoto wako? Je ndio sababu alikuwa hospitali ilhali ulikuwa nyumbani?
Kaka angu nakuomba. Achana na sisi humu kabisa. Kuna kaupumbavu tunako na bado hatujakua. Ukute anacomment kutoka kwa shemeji yake. Kwa heshima ya mtoto wetu (REST IN PEACE LOVELY SOUL), just ignore kila fool atakaetaka kukuudhi.Hospitali ya KCMC hauwezi kukaa wodini na mtoto mgonjwa. Huwa wanawekwa kwenye uangalizi chumba maalum. BTW alikuwa ICU ulitaka nikalale naye huko?
Na je kuagana naye ilisaidia nini?
Pole kwa kumpoteza mtoto,lakini pia usingemuaga ungeumia zaidiHospitali ya KCMC hauwezi kukaa wodini na mtoto mgonjwa. Huwa wanawekwa kwenye uangalizi chumba maalum. BTW alikuwa ICU ulitaka nikalale naye huko?
Na je kuagana naye ilisaidia nini?
DaaaSijawahi na naomba isinitokee kabisa. Hivi ikifika hii hatua mtu unakuwa unawaona au vipi?
Can't wait to find out when I die
View attachment 2379823