Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
DuhBad memory! Kuna siku nipo zangu Ubungo pale riverside nataka kuvuka upande wa pili m, barabara ya kwanza nikavuka, nikawakuta wenzangu wengiwengi tu wanatafuta gap wamalizie barabara ya pili wavuke. Sasa kuna mmama mmoja ‘may her soul rest in peace’ alidhani gari iko mbali, aisee kitu kililia puuuu! Semi ilimburuta ikamwacha kwa mbele damu inatiririka tu barabarani na maisha yake yaliishia pale. Niliumia sana moyoni, nikarudi geto kulala siku hiyo sikutoka.
Nawe unatamani ujue siku hiyo eeh?Daaa
Natamani nisife,watoto mwenzioNawe unatamani ujue siku hiyo eeh?
Tatizo hakuna option.. ukishazaliwa solution ni kufa tu whether you like or not.Natamani nisife,watoto mwenzio
Hope haitasahaulika,itabaki kumbukumbu...unique name with unique comments😉hata I'D yako hii tutaisahau one day.
Kuna watoto kibao wazaz wao wamekufa na ndugu zao wamewadhurum mali na kuwatupa ila bado wana survive mtaani...Anaelea watoto ni Mungu hatma yao iko mikononi mwake wala sio kwasababu wewe upo....unaweza kufa ukawaacha wadogo na bado wakatoboa tu maisha japo kwa shida.Natamani nisife,watoto mwenzio
Kulikuwepo humu akina Dena Amsi, Warumi, @Easymutant(huyu alipofia na hapa nilipo right now ni mwendo wa dakika 5 tu)Hope haitasahaulika,itabaki kumbukumbu...unique name with unique comments😉
👊🙏 mkuuKuna watoto kibao wazaz wao wamekufa na bado wana survive mtaani...Anaelea watoto ni Mungu hatma yao iko mikononi mwake wala sio kwasababu wewe upo....unaweza kufa ukawaacha wadogo na bado wakatoboa tu maisha japo kwa shida.
Ukilitambua hilo utajizoesha kuwaweka mikonon mwa Mungu kila saa.
😭maskini mieKulikuwepo humu akina Dena Amsi, Warumi, @Easymutant(huyu alipofia na hapa nilipo right now ni mwendo wa dakika 5 tu)
Ila tushawasahau... Don't worry moja kati ya zawadi kubwa tuliyopewa wanadamu ni kusahaua
sijui muuguzi aikwenda wapi wapi jamani huenda mzee angewahishwa kwenye huduma angepona. Rest easy Mzee!ikamkuta mzee mmoja alikuwa kwenye kile kitanda cha kusukuma yupo peke yake.
Wazazi wetu walifariki tungali wadogo but now tunalamba asali ukisemacho kipoKuna watoto kibao wazaz wao wamekufa na ndugu zao wamewadhurum mali na kuwatupa ila bado wana survive mtaani...Anaelea watoto ni Mungu hatma yao iko mikononi mwake wala sio kwasababu wewe upo....unaweza kufa ukawaacha wadogo na bado wakatoboa tu maisha japo kwa shida.
Ukilitambua hilo utajizoesha kuwaweka mikonon mwa Mungu kila saa.
Mungu azid kuwatunza mlambe asali kiungwanaWWazazi wetu walifariki tungali wadogo but now tunalamba asali ukisemacho kipo
Amen mkulungwa but mapitio yalikuwa mengi lakin tuliyashinda.Mungu azid kuwatunza mlambe asali kiungwana
Hakika hii ni ndoto ya kila mmoja wetu but still counter plans are important in case anything happensAmen mkulungwa but mapitio yalikuwa mengi lakin tuliyashinda.
Pia kama wadau wengine waliocomment huko juu mm binafsi nataman kuona vijana wangu nimewaacha sehemu fulan so naomba mungu sana anibarik nifikie umri wa utu uzima ili zile changamoto tulizopitia sisi zisiwepo.
Haisaidii sana....kabla hamjaingia gest si mliwasiliana kwa cm!?Hatari sana.
Ombea Mungu usifiwe na demu ghetto, bora hotelini unaweza kutoka nduki
Ameingia porini akayeeeya. Na mimi nimeshangaa eti anakosoma usiku kucha hana mwangalizi yeye anashuhulika na wake pembeni. Huo mwisho mwema sijui.Kwanini hukumsaidia chakula mkuu
Pole ndg. Ila ninaweza kusema huenda alilala kama mmoja wa mitume na manabii wa kale.Mama yangu mzazi, ilikuwa tarehe 1/5/2020.
Majira ya saa tatu usiku, nimekaa na mama tunazungumza huku tukiwa tunatazamana machoni. Hapohapo mama alifumba macho na hakufumbuwa tena.
Nilipatwa na mshangao usio wa kawaida, RIP mama
Kwakeli inashangazaAmeingia porini akayeeeya. Na mimi nimeshangaa eti anakosoma usiku kucha hana mwangalizi yeye anashuhulika na wake pembeni. Huo mwisho mwema sijui.