Umewahi shuhudia mtu akifa mbele yako ghafla na hukuamini?

KICHWA CHA HABARI KINA CHEKESHA
Na hakuna kifo cha kimaskhara
 
Hatari sana.
Ombea Mungu usifiwe na demu ghetto, bora hotelini unaweza kutoka nduki

Umenikumbusha jambo moja lililotokea nikiwa na demu geto, ndani ya sekunde 5 nishapagawa.

Mwezi wa 7 nilikuwa na demu geto, baada ya kunyanduana tukawa tumelala. Sasa USIKU wa manane nilivyoshtuka, kumwangalia demu katulia tiiiii. Kumgusa kwenye mbavu akawa kama hapumui hivi! Oyaa, nilidata, nikajua ashavuta.

Basi nikamtikisa kwa nguvu sana ndo akashtuka anauliza NINI????

Nilivuta pumzi ndefu halafu nikalala Hata sikumsemesha
 
Ulikua na wenge mkuu
 
Nilikuwa dogo mwenye upako mwingi, tulienda kumtembelea mtumishi mmoja anaumwa, tukafika pale piga story na mgonjwa kabla ya kuondoka tukaomba, wakati wa maombi mimi nilisimama kando ya mgonjwa karibu na mkono wake, katikati ya maombi mgonjwa akawa ananishika vidole vyangu kama anataka kunishika mkono wangu, alifanya hivyo kwa kurudia kama mara nne au less, tulivyomaliza maombi tukawa tunamuaga mgonjwa, kila tukiita kimya kila tukiita kimyaaa, kumbe jamaa ndo tayarii amekufa kwa mtindo huo.

Nilikuwa mdogo nakumbuka tunaondoka pale njia nzima nilikuwa natetemeka na kujiuliza marehemu alikuwa anataka kuniambia nini kwa kujaribu kunivuta vidole vilee? Marehemu alikuwa kijana tu 22yrs
 
Ulikuwa boya kwa nini usifumbue macho kuona anasemaje mtu mpaka anakugusa unajikausha tu unajifanya una upako, kilaza kabisa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…