Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KICHWA CHA HABARI KINA CHEKESHALeo nimeona mtu akifa kama utani na mbele yangu.
Wakati nikivuka barabara ghafla mtu mwanaume aliyekua mbele yangu akaanguka kama kapigwa shoti ya umeme.
Akajibamiza vibaya sana chini na pote pakaanza kutapakaa damu,inatoka kila eneo la wazi la mwili.
Sababu ya butwaa nilikosa cha kusaidia,ila wakaja wadau hapo wakasema ni kifafa huyo,jamaa keshameza ulimi n.k yaani kuna mzee akamgusa akasema huyo tayari kafa.
Basi ikawa ndio hata hatujui nini kifanyike
Ila ndio ikawa tayari amekufa...nikaahirusha na safari nikarudi zangu nyumbani.
Umewahi shuhudia mtu kufa kimasihara?
Hatari sana.
Ombea Mungu usifiwe na demu ghetto, bora hotelini unaweza kutoka nduki
Ish maa..a sh..i.ta fainnaka mayyitu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Jaman wikiend ndyo inaanza tunaanza kutishana [emoji856]
Ni kifafa mkuu, hakuna taharuki"Akajibamiza vibaya sana chini na pote pakaanza kutapakaa damu,inatoka kila eneo la wazi la mwili".
Mshaanza kutengeneza taharuki mtaani.
Vipo mkuuKICHWA CHA HABARI KINA CHEKESHA
Na hakuna kifo cha kimaskhara
Ulikua na wenge mkuuUmenikumbusha jambo moja lililotokea nikiwa na demu geto, ndani ya sekunde 5 nishapagawa.
Mwezi wa 7 nilikuwa na demu geto, baada ya kunyanduana tukawa tumelala. Sasa USIKU wa manane nilivyoshtuka, kumwangalia demu katulia tiiiii. Kumgusa kwenye mbavu akawa kama hapumui hivi! Oyaa, nilidata, nikajua ashavuta.
Basi nikamtikisa kwa nguvu sana ndo akashtuka anauliza NINI????
Nilivuta pumzi ndefu halafu nikalala Hata sikumsemesha
Ndio maana sometimes nawaza hata kutozaaNahisi jambo litakalokuja kuniumiza ni kuona mwanangu anatangulia kabla yangu! Naomba sana nije niwahi mimi, wanizike wanangu!
Kweli Mkuu! Inasikitisha sana.ndio maana sometimes nawaza hata kutozaa
nikikumbuka machungu ya kufiwa na mtu wa karibu basi ni heri kutooa(hutakua na mke) pia hutozaa
Ulikuwa boya kwa nini usifumbue macho kuona anasemaje mtu mpaka anakugusa unajikausha tu unajifanya una upako, kilaza kabisa wewe.nilikuwa dogo mwenye upako mwingi, tulienda kumtembelea mtumishi mmoja anaumwa, tukafika pale piga story na mgonjwa kabla yakuondoka tukaomba, wakati wa maombi mimi nilisimama kando ya mgonjwa karibu na mkono wake, katikati ya maombi mgonjwa akawa ananishika vidole vyangu kama anataka kunishika mkono wangu, alifanya hivyo kwa kurudia kama mara nne au less, tulivyomaliza maombi tukawa tunamuaga mgonjwa, kila tukiita kimya kila tukiita kimyaaa, kumbe jamaa ndo tayarii amekufa kwa mtindo huo.
nilikuwa mdogo nakumbuka tunaondoka pale njia nzima nilikuwa natetemeka na kujiuliza marehemu alikuwa anataka kuniambia nn kwa kujaribu kunivuta vidole vilee? marehemu alikuwa kijana tu 22yrs
[emoji1545][emoji1545]Tuwaombee waliotangulia Allah awape pumziko Jema na awasamehe Dhambi zao
Unaogopa kufa? Au unamuogopa aliyekufa??Jaman wikiend ndyo inaanza tunaanza kutishana [emoji856]