Umewahi shuhudia mtu akifa mbele yako ghafla na hukuamini?

Pole saaana Mkuu.
 
Pale kimara suka ilikuwa saa 11 asubuhi nakwenda shule nilisikia.

Wakati nishavuka kinakisikia gari imegonga kitu na mlio mkubwa Kama kitu kimepasuka, lile gari lilirudi nyuma na kukiovertake kile kitu likaondoka.

Baada ya hapo lilikuja gari moja likapita juu yake, kwa kuwa nilikuwa mbali na tukio sikujua kinachoendelea.

Mara mtu wa kwanza nikamuona kasimama,wakaanza kujaa watu kwenda kuangalia kumbe kuna mwanajeshi kagongwa kapasuka kichwa, ubongo nje.

Nilipata ganzi na shule sikwenda
 
Pole sana mkuu, mtoto apumzike kwa amani🙏
 

MRADI HUU NI MZURI SANA LAKINI ULE MTENGANISHO NI MDOGO SANA KIASI NI HATARI SANA UKIJISAHAU KIDOGO TU UNAGONGWA,UWEKWE UTENGANISHO WA VYUMA MKUBWA HASA KATIKA SEHEMU KARIBU NA VITUO VYAKE.MAANA UNAVUKA UNASIMAMA KWENYE KATOFALI KADOGO HALAFU UNAVUKA TENA.HATARI SANA.
 
Kwa mfano huyo jamaa aliyedondoka kifafa huduma yake ya kwanza ilikuwa ni kumtanua mdomo kisha unamuwekea kijiti mdomoni aking'ate
 
Eti ukarudi home...?
 
Kweli kbs na umetoa ushauri mzuri sn mkuu
 
Mi ndo kawaida yangu kusimama kwenye zile blocks embu nianze kua makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…