luchelele mzunguko
JF-Expert Member
- Feb 12, 2021
- 1,206
- 1,641
Kibabe ile ya faster bila kuchelewa [emoji23]Swali langu la kwanza lilikuwa NAMTUPA WAPI??
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibabe ile ya faster bila kuchelewa [emoji23]Swali langu la kwanza lilikuwa NAMTUPA WAPI??
Tusikalili mkuu, kifo atupangi sisi kwamba nani aanze kwa maana hiyo anaanza yoyote sisi tukubaliane tu na matokeo ndio maisha yalivyo.Mwezi wa tano mwaka huu mtoto wangu alikuwa kalazwa KCMC kwa shida ya moyo. Saa 7 usiku daktari akanipigia simu kuwa hali ya mtoto imebadilika ghafla. Niliwasha gari na kuelekea hospitali haraka na kufika tu dogo akanishika mkono akakata roho....
Natamani sana nisingepigiwa ile simu. Mzazi hapaswi kuzika mtoto bali mtoto ndio amzike mzazi
Kwamba ni ule ugonjwa wa jirani?"Akajibamiza vibaya sana chini na pote pakaanza kutapakaa damu, inatoka kila eneo la wazi la mwili".
Mshaanza kutengeneza taharuki mtaani.
Daah umenikumbusha hii stori yako, kuna jamaa alikuwa basketballer chuoni , alikuwa anaitwa Othmani aka Ochu. Jamaa nasikia alitoka kulewa na mwana , ye akiwa suka akapata ajari tukamkosa mwanetuWanangu watatu walikufa siku za weekend baada ya kutoka kula bata wakidrive
Nikitafakari vifo vyao huwa nayaelewa sana maneno dont drink and drive
Hacha zako wewe lazima tuyazungumze hapa wazi wazi maana yanatokea kwenye maisha yetu ya kila siku.Ningekuwa na uwezo huu uzi ningeufutilia mbali
Huu uzi unatisha..bakini wenyewe mi naondoka, sijui nini kimenileta
Yaani ni mambo ya kutisha kila comment. Niko peke yangu hapa naogopafanya u subscribe kabisaa
usiogope bwana hizi issue normal sanaYaani ni mambo ya kutisha kila comment. Niko peke yangu hapa naogopa
Hapana kwa kweliusiogope bwana hizi issue normal sana
Vijana wengi tunawapotezaGari na pombe ni shida. Mungu atusaidie tu
Inasikitisha sana mwamba kaondoka na kipaji chakeDaah umenikumbusha hii stori yako, kuna jamaa alikuwa basketballer chuoni , alikuwa anaitwa Othmani aka Ochu. Jamaa nasikia alitoka kulewa na mwana , ye akiwa suka akapata ajari tukamkosa mwanetu
Pole sana mkuuMama yangu mzazi, ilikuwa tarehe 1/5/2020.
Majira ya saa tatu usiku, nimekaa na mama tunazungumza huku tukiwa tunatazamana machoni. Hapohapo mama alifumba macho na hakufumbuwa tena.
Nilipatwa na mshangao usio wa kawaida, RIP mama
Unaondoka kwenda kwenye ule uzi wa fantasy?Huu uzi unatisha..bakini wenyewe mi naondoka, sijui nini kimenileta
Bora ule aisee 😅😅😅😅Unaondoka kwenda kwenye ule uzi wa fantasy?
🤣🤣🤣 ule uzi shetani mwenyewe anapaogopaBora ule aisee 😅😅😅😅
Nani anataka mambo ya kufa kufa?
Kwa kweli shetani hapiti pale😅😅😅🤣🤣🤣 ule uzi shetani mwenyewe anapaogopa