Umewahi ziona hybrid cars hapa bongo? Je, zinastahimili changamoto mbalimbali? Wataalamu karibuni!

Ni post ya zamani, ila tuwekane sawa. Hybrid cars hazina port ya ku plug umeme. Zinatumia process inaitwa regenerative braking ku charge batteries. Pale unaposhika brake ukiwa kwenye mwendo. Kuna energy inakuwa produced, ndio hiyo inatumika kucharge batteries.
 
Kuna hybrid na plug in hybrid
 
Je, ukiagiza gari hybrid kwa mfano kupitia beforward, wakati wa inspection, wanakagua high voltage battery system?
 
kuna huyu jamaa anauza hivi vigari bongo ni full electric, natamani sasa hivi na mimi nimililiki gari full electric vipi kuna mtu eshawahi viona au tumia?
Nashindwa kupata address za huyu Jamaa unaweza share address zake zingine kama Instagram page?Mimi sipo Twitter
 
Ndani ya miaka mitano wakati watu wangenunua hata kesho tu. Hii keroya mafuta hamna mtanzania wa kawaida anaipenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…