Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Huyu wa mbele waliopiga goti ni nsajigwa au pawasa?Ivo mapunda, Nshanyigwa, SMG
NsajigwaHiki ni kikosi cha Yanga nadhani 2005 unawatambua wangapi na uwataje!
NB:
Vijana mlioanza kufatilia baada ya AzamTv kueni wapole
View attachment 2820911
Uyo kipa pichani sio peter manyikaYanga ya 2005 _ 2007 ilikuwa ya moto kiasi chake. Abuu Ramadhan amokachi, Amri Kiemba, Nsajigwa kipa peter manyika, Doi Moke? Then Smg anakuwa replaced na Ngasa!