Umewatambua wachezaji wangapi hapa?

Umewatambua wachezaji wangapi hapa?

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Hiki ni kikosi cha Yanga nadhani 2005 unawatambua wangapi na uwataje!
NB:
Vijana mlioanza kufatilia baada ya AzamTv kueni wapole
IMG_8760.jpeg
 
Yanga ya 2005 _ 2007 ilikuwa ya moto kiasi chake. Abuu Ramadhan amokachi, Amri Kiemba, Nsajigwa kipa peter manyika, Doi Moke? Then Smg anakuwa replaced na Ngasa!
 
Mnawakumbuka wakongoman Pitchou Kongo Mwango na Patricl katalai,
Yuko wapi waziri mahadhi mandieta, Mengi Matunda Ngozoma
 
Back
Top Bottom