Umewaza ukafikiri ukipoteza mchongo ulionao familia yako itasimama kama ilivyo sasa?

fufumajeusi

Senior Member
Joined
Dec 21, 2024
Posts
148
Reaction score
254
Wakuu kuna ile hofu inanitawala akilini mwangu kuhusu hali ya kipato stahimilivu (income sustainability).

Hivi nikipoteza kazi leo, mchongo, serious accident even death mke wako or mumewako, watoto ama wazazi wako unahisi utawaacha katika mazingira gani?

Je, watapata milo mitatu,watoto watasoma na vipi makazi na afya? umewahi kukaa ukajiuliza
 
Mkuu uliandikiwa na kupangiwa toka ulipozaliwa utakuwa hivyo. Hata wewe kuposti huu uzi ilishapangwa. Kwa hiyo wee usiwaze sana acha mambo yajiendee tu bila kulazimisha.
imean hawa dependants wangu , wata survive kweli ama ndio nitawachia msoto
 
Mkuu ni mawazo yangu tu lakini

Ukiwa mwanaume uwe tiyari Kwa Wakati wowote unao kufaa na usio kufaa!!

Kwanini ? Ishi maisha ambayo hata ukiacha kazi Leo iwe Kwa kufukuzwa au Ki vyovyote vile usipate msongo wa mawazo.

Mfano kuna kazi unapswa iwe sehemu ya mazoezi Yako mfano kilimo kidogo au ufugaji. Wengi wenu mnabeza tu lakini mchongi upo huku asee.

Familia ilee mazingira ya kuishi popote. Shida kubwa watu wakupata la mfereji kidogo tu Huwa wanajisahau sana...

Jamaa aliwazoeaha Watoto kuwaletea zawadi Kila akitoka kazini vilevile na mke wake na kuwatoa out(hii si mbaya) mbaya zaidi dagaa na mboga za majani alipiga marufuku kwake kuzipika.

Kwahiyo Watoto wakakua maisha ambayo si rahisi kuishi mahali pengine!!

Baada ya mfereji kukatwa kidogo ajinyonge .......

Mimi boss alinitisha kuhusu kuisha kazi nikamjibu Boss kitu Cha kunitishia ni afya tu lakini tofauti na hapo Wala siwezi jutia kabisa!!

Alishangaa sana na kweli nilikuwa namanisha kuwa Mimi siku afya yangu ikikwama hapo ndo nitawaza hata wanafamilia wangu wanajua Hilo.

Omba tu uwe na familia Bora na uwe na afya njema hizi kazi muda wowote inaisha.

Ishi maisha ambayo ni ya kawaida sana ...zaidi tukumbuke kuwekeza Kwa ajiri ya kesho yetu.

Usiwaze sana kuhusu hili tafadhari
 
Kaka umeandika madini sana Mimi hizi kazi Nazo Fanya zinanifanya niogope sana kesho yangu.

Sisi wengine tulikataa kazi za serikalini..siku nilipo pata ajar na kukaa nyumbani mwaka mzima nilijifunza mengi
 
Back
Top Bottom