fufumajeusi
Senior Member
- Dec 21, 2024
- 148
- 254
- Thread starter
- #41
pole mkuu, kwani alichangia huo mfuko wa bima kwa muda gani?Bima ya maisha za kibongo siyo suluhisho. Bi mkubwa wetu alikufa alikuwa amekata hiyo bima.
Sisi watoto wake ndiyo beneficiaries. Hiyo pesa haikutosha kutaua matatizo yetu yote kwa miaka hata 2.