fufumajeusi
Senior Member
- Dec 21, 2024
- 148
- 254
even kibarua bro, c una endesha familia ?Huo mchongo wenyewe bado hatujapata.
tufanye nn kaka ujana ndio huu?Ni balaa sana mkuu haiwezi kusimama
Mkuu uliandikiwa na kupangiwa toka ulipozaliwa utakuwa hivyo. Hata wewe kuposti huu uzi ilishapangwa. Kwa hiyo wee usiwaze sana acha mambo yajiendee tu bila kulazimisha.mm huwa na waza sana sijui nasumbuliwa na poberty trauma
FateMkuu uliandikiwa na kupangiwa toka ulipozaliwa utakuwa hivyo. Hata wewe kuposti huu uzi ilishapangwa. Kwa hiyo wee usiwaze sana acha mambo yajiendee tu bila kulazimisha.
Tuwekeze tu hata siku tukiondoka au kukosa kazi tuweze kujikwamuatufanye nn kaka ujana ndio huu?
imean hawa dependants wangu , wata survive kweli ama ndio nitawachia msotoMkuu uliandikiwa na kupangiwa toka ulipozaliwa utakuwa hivyo. Hata wewe kuposti huu uzi ilishapangwa. Kwa hiyo wee usiwaze sana acha mambo yajiendee tu bila kulazimisha.
noted bossTuwekeze tu hata siku tukiondoka au kukosa kazi tuweze kujikwamua
Wakisurvive ama wasiposurvive, wakisota ama wasipo yote yalishapangwa yawe hivyo. Chochote unachofanya hata ukibanwa na kwenda kunya ni hitimisho tu ya kilichopangwa kwako tangu pindi tu ulipozaliwa.imean hawa dependants wangu , wata survive kweli ama ndio nitawachia msoto
Kaka umeandika madini sana Mimi hizi kazi Nazo Fanya zinanifanya niogope sana kesho yangu.Mkuu ni mawazo yangu tu lakini
Ukiwa mwanaume uwe tiyari Kwa Wakati wowote unao kufaa na usio kufaa!!
Kwanini ? Ishi maisha ambayo hata ukiacha kazi Leo iwe Kwa kufukuzwa au Ki vyovyote vile usipate msongo wa mawazo.
Mfano kuna kazi unapswa iwe sehemu ya mazoezi Yako mfano kilimo kidogo au ufugaji. Wengi wenu mnabeza tu lakini mchongi upo huku asee.
Familia ilee mazingira ya kuishi popote. Shida kubwa watu wakupata la mfereji kidogo tu Huwa wanajisahau sana...
Jamaa aliwazoeaha Watoto kuwaletea zawadi Kila akitoka kazini vilevile na mke wake na kuwatoa out(hii si mbaya) mbaya zaidi dagaa na mboga za majani alipiga marufuku kwake kuzipika.
Kwahiyo Watoto wakakua maisha ambayo si rahisi kuishi mahali pengine!!
Baada ya mfereji kukatwa kidogo ajinyonge .......
Mimi boss alinitisha kuhusu kuisha kazi nikamjibu Boss kitu Cha kunitishia ni afya tu lakini tofauti na hapo Wala siwezi jutia kabisa!!
Alishangaa sana na kweli nilikuwa namanisha kuwa Mimi siku afya yangu ikikwama hapo ndo nitawaza hata wanafamilia wangu wanajua Hilo.
Omba tu uwe na familia Bora na uwe na afya njema hizi kazi muda wowote inaisha.
Ishi maisha ambayo ni ya kawaida sana ...zaidi tukumbuke kuwekeza Kwa ajiri ya kesho yetu.
Usiwaze sana kuhusu hili tafadhari
None senseKateni life insurance. Problem solved.