Umewaza ukafikiri ukipoteza mchongo ulionao familia yako itasimama kama ilivyo sasa?

Usiwaze mkuu , maisha hayawezi kusimama kisa wewe umekufa au umepoteza kazi.
Unaweza poteza uhai maisha yakawa bora kuliko hapo mwanzo ulipokuwa hai kwa utakowaacha hapo nyuma.
Ila binafsi mtu anaewaza , mke wake atamuachaje huwa nashangaa sana ,Wanawake wana njia million za kuservive.
Ndio maana huwezi kuta mtoto wa mtaani jinsia ya kike.
 
huu ushauri nimeupokea na shukrani sana kiongozi Nikifa MkeWangu Asiolewe
 
ni sahihi kaka
 
Mkuu ni mawazo yangu tu lakini

Ukiwa mwanaume uwe tiyari Kwa Wakati wowote unao kufaa na usio kufaa!!
Kabisa
Ndyo
😂😂😂😂
Kwahiyo Watoto wakakua maisha ambayo si rahisi kuishi mahali pengine!!

Baada ya mfereji kukatwa kidogo ajinyonge .......
Duuuh
Hii nakuung mkono
Omba tu uwe na familia Bora na uwe na afya njema hizi kazi muda wowote inaisha.

Ishi maisha ambayo ni ya kawaida sana ...zaidi tukumbuke kuwekeza Kwa ajiri ya kesho yetu.

Usiwaze sana kuhusu hili tafadhari
👏🏻👏🏻👏🏻
 
Kwa itikadi na imani ya kiislamu mtu huandikiwa kuhusu rizki yake ajali yake (mauti) n.k angali akiwa tumboni mwa mama ake kwaio kila mtu rizki yake ipo hta ww ukifa sasa hivi huenda mumeo au mke akapta mwenza mwengine na mai
 
Kwa itikadi na imani ya kiislamu mtu huandikiwa kuhusu rizki yake ajali yake (mauti) n.k angali akiwa tumboni mwa mama ake kwaio kila mtu rizki yake ipo hta ww ukifa sasa hivi huenda mumeo au mke akapta mwenza mwengine na mai
ishu ni watoto mkuu ?
 
Njia pekee ya kuwa na income sustainability hapa bongo uwe umeajiriwa serikalini au uwe sehemu ya meza ya chama tawala.

Huku kwengine hali haieleweki, hakuna guarantee
 
Bima ya maisha za kibongo siyo suluhisho. Bi mkubwa wetu alikufa alikuwa amekata hiyo bima.
Sisi watoto wake ndiyo beneficiaries. Hiyo pesa haikutosha kutaua matatizo yetu yote kwa miaka hata 2.

Kwahiyo hela mlipewa? Nilidhani ungesema waligoma kuwapa. Hapo tatizo ni kiwango chake sio bima yenyewe per se.

Ukikata ya kiwango kidogo beneficiaries watapata kiwango kidogo ni hivyo hivyo worldwide sio bongo tu. Kingine kwanini aweke kiwango kikubwa wakati nyie mshakuwa watu wazima? Unakata ya kiwango kikubwa incase ukaacha watoto underage sio watu wazima wenye ndevu zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…