Umiliki wa Singida Fountain Gate upoje?

Uchawa utakuua.
Yeye alikanusha kuwa hajawahi kufanya hata biashara ya bajaji
 
Nyie mteteeni huyo Madelu. Ila nawakumbusha tu Madelu alipotumbuliwa na Jiwe wote tunajua Singida Utd ilipwaya na kushuka daraja.

Alipopata uwaziri katika utawala wa Joyce Banda akainunua Mawenzi Market ikabadilishwa jina na kuwa DTB kisha Singida Big Stars na sasa Singida Fountain Gate

Bob Marley aliwahi kusema “Unaweza kudanganya watu fulani kwa muda fulani ila huwezi kudanganya watu wote kwa muda wote.
 
Bainaisha mapambano yake hapa!!!
 
Bainaisha mapambano yake hapa!!!
Vijana tafteni fedha vijicho na husda havitawafanya nanyi kuwa kama yeye. Siri ya utajiri wake kwakua alisha wahi kua kiongozi wa mbio za mwenge miaka ya 90
Nanyi kakimbizeni mwenge mtoke kimaisha[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…