Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Uchawa utakuua.Inawezekana uyo waziri wakati anamiliki Singida United ulikua bado hauja anza kufuatilia mpira.
Uyo waziri ameanza kujihusisha na mpira wa miguu kitambo sana, kabla hajawa waziri na kuhusu wapi anapata fedha ilo lisikupe tabu.
Jamaa ni mfanya biashara kitambo na fedha anayo na anaupenda mpira.
Tena utajiri wake si wa kurithi kama baadhi ya matajiri wanao jihusisha na mpira kwasasa, amepambana mwenyewe sasa tusiwe na wivu na mafanikio ya watu na kutafuta namna ya kuwapaka matope.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Yeye alikanusha kuwa hajawahi kufanya hata biashara ya bajaji