Uminywaji wa Habari na ugumu wa maisha ndio kaburi la Chama Changu CCM

Mwingereza

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
1,115
Reaction score
2,771
Siyo tu kwamba wananchi wametuchoka, bali wanatuchora na wengi kimya kimya hadi wana CCM wenzangu wanatumia njia mbadala kutafuta habari. Wananchi wako Facebook, Instagram, Youtube, google, telegram, signal na Whatsaap wakimtafuta yule tusiyempenda na pale wanapozipata habari zake, wanazisambaza kweli kweli wakiwa na hasira.

Mimi mwenyewe nimetumiwa habari zake na watu nisiyowajua zaidi ya mara 9. Clip moja inayomnanga mwenyekiti wangu kujenga uwanja wa ndege kijijni kwake Chato. Wananchi hawana muda tena na TV, magazeti wala Radio. Wanachokitaka ndiyo zile habari tusizozipenda.

Na kwa bahati mbaya wamenitumia clipu ya sekunde 45 ya Vitisho vya NAPE (Mzee wa bao la Mkono) kwa wapinzani, ambayo nina uhakika TV, magazeti, wala magazeti yetu hayakuyaripoti.

Viongozi wangu, kuanzia Rais, Katibu wa CCM na kamati kuu, hilo ndio moja ya makossa makubwa ya kimkakati tuliyoikosea. Mmeweka pamba masikioni. Hali siyo hiyo, ni mbaya huku mtaani. kuhusiana na kuminya habari na ugumu wa maisha. Habari ambazo hazifichiki ni kwamba, wananchi wametuchoka wana CCM kutokana na matendo yetu na ugumu wa maisha. Dr. Abbas , TCRA, watendaji wa hovyo Ole-Sabaya na Polisi wanatuhujumu mchana kweupe. Wanatuchimbia makaburi ya kudumu.....!!!!

Wananchi wanatuvumilia siyo kwamba wanatuogopa, ila ifikapo October, cha moto tutakiona. Siyo mimi tu, na hili tsunami la huyu tusiyempenda, wagombea wengi tumejiandaa kisaikolojia kukabidhi ambayo tangu uhuru yamekuwa CCM, maana bao la mkono mwaka huu haitawezekana, unless tuamue kumwaga damu. Kama kuna uwezekano, basi fungeni hadi mitandao ili wasipate habari yoyote, maana wanazozipata sasa hivi ni zile tunazoziita SUMU na wanazipata “Live bila Chenga” kutoka kwa yule tusiyempenda akimwaga" Ufisadi wa mwenyekiti wangu".

Nimechoka na kejeli ya wapiga kura wangu wakinitishia kunizika kisiasa October. Yote watatusamehe, ila siyo uminywaji wa habari na hali ngumu ya maisha
 
Mkuu chama kimeamua kutumia "ostrich strategy" ili kupuuzia kuuona ukweli wa mambo jinsi ambavyo ulivyo.
 
Siyo tu kwamba wananchi wametuchoka, bali wanatuchora na wengi kimya kimya hadi wana CCM wenzangu wanatumia njia mbadala kutafuta habari. Wananchi wako Facebook, Instagram, Youtube, google, telegram, signal na Whatsaap wakimtafuta yule tusiyempenda na pale wanapozipata habari zake, wanazisambaza kweli kweli wakiwa na hasira.

Mimi mwenyewe nimetumiwa habari zake na watu nisiyowajua zaidi ya mara 9. Clip moja inayomnanga mwenyekiti wangu kujenga uwanja wa ndege kijijni kwake Chato. Wananchi hawana muda tena na TV, magazeti wala Radio. Wanachokitaka ndiyo zile habari tusizozipenda.

Na kwa bahati mbaya wamenitumia clipu ya sekunde 45 ya Vitisho vya NAPE (Mzee wa bao la Mkono) kwa wapinzani, ambayo nina uhakika TV , magazeti, wala magazeti yetu hayakuyaripoti.

Viongozi wangu, kuanzia Rais, Katibu wa CCM na kamati kuu, hilo ndio moja ya makossa makubwa ya kimkakati tuliyoikosea. Mmeweka pamba masikioni. Hali siyo hiyo, ni mbaya huku mtaani. kuhusiana na kuminya habari na ugumu wa maisha. Habari ambazo hazifichiki ni kwamba, wananchi wametuchoka wana CCM kutokana na matendo yetu na ugumu wa maisha. Dr. Abbas , TCRA, watendaji wa hovyo Ole-Sabaya na Polisi wanatuhujumu mchana kweupe. Wanatuchimbia makaburi ya kudumu.....!!!!

Wananchi wanatuvumilia siyo kwamba wanatuogopa, ila ifikapo October, cha moto tutakiona. Siyo mimi tu, na hili tsunami la huyu tusiyempenda, wagombea wengi tumejiandaa kisaikolojia kukabidhi ambayo tangu uhuru yamekuwa CCM, maana bao la mkono mwaka huu haitawezekana, unless tuamue kumwaga damu. Kama kuna uwezekano, basi fungeni hadi mitandao ili wasipate habari yoyote, maana wanazozipata sasa hivi ni zile tunazoziita SUMU na wanazipata “Live bila Chenga” kutoka kwa yule tusiyempenda akimwaga" Ufisadi wa mwenyekiti wangu".

Nimechoka na kejeli ya wapiga kura wangu wakinitishia kunizika kisiasa October. Yote watatusamehe, ila siyo uminywaji wa habari na hali ngumu ya maisha
Hali ngumu haiwezi kuondoka ndani ya miezi mitatu hilo sahau
 
Siyo tu kwamba wananchi wametuchoka, bali wanatuchora na wengi kimya kimya hadi wana CCM wenzangu wanatumia njia mbadala kutafuta habari. Wananchi wako Facebook, Instagram, Youtube, google, telegram, signal na Whatsaap wakimtafuta yule tusiyempenda na pale wanapozipata habari zake, wanazisambaza kweli kweli wakiwa na hasira.

Mimi mwenyewe nimetumiwa habari zake na watu nisiyowajua zaidi ya mara 9. Clip moja inayomnanga mwenyekiti wangu kujenga uwanja wa ndege kijijni kwake Chato. Wananchi hawana muda tena na TV, magazeti wala Radio. Wanachokitaka ndiyo zile habari tusizozipenda.

Na kwa bahati mbaya wamenitumia clipu ya sekunde 45 ya Vitisho vya NAPE (Mzee wa bao la Mkono) kwa wapinzani, ambayo nina uhakika TV, magazeti, wala magazeti yetu hayakuyaripoti.

Viongozi wangu, kuanzia Rais, Katibu wa CCM na kamati kuu, hilo ndio moja ya makossa makubwa ya kimkakati tuliyoikosea. Mmeweka pamba masikioni. Hali siyo hiyo, ni mbaya huku mtaani. kuhusiana na kuminya habari na ugumu wa maisha. Habari ambazo hazifichiki ni kwamba, wananchi wametuchoka wana CCM kutokana na matendo yetu na ugumu wa maisha. Dr. Abbas , TCRA, watendaji wa hovyo Ole-Sabaya na Polisi wanatuhujumu mchana kweupe. Wanatuchimbia makaburi ya kudumu.....!!!!

Wananchi wanatuvumilia siyo kwamba wanatuogopa, ila ifikapo October, cha moto tutakiona. Siyo mimi tu, na hili tsunami la huyu tusiyempenda, wagombea wengi tumejiandaa kisaikolojia kukabidhi ambayo tangu uhuru yamekuwa CCM, maana bao la mkono mwaka huu haitawezekana, unless tuamue kumwaga damu. Kama kuna uwezekano, basi fungeni hadi mitandao ili wasipate habari yoyote, maana wanazozipata sasa hivi ni zile tunazoziita SUMU na wanazipata “Live bila Chenga” kutoka kwa yule tusiyempenda akimwaga" Ufisadi wa mwenyekiti wangu".

Nimechoka na kejeli ya wapiga kura wangu wakinitishia kunizika kisiasa October. Yote watatusamehe, ila siyo uminywaji wa habari na hali ngumu ya maisha
Tunakufa njaa jamani
 
Kama mnaaubiri CCM iwatee ridhik zenu mlangoni huku mkishinda kutwa nzima mitandaoni kulialia Basi mtakufa masikini kunguru nyie.
 
Back
Top Bottom