Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Umevuta bhangi za wapi wewe hahahaha... sasa hapa JPM ameingia je??JPM hiyo ni sera au kula, tunataka kusikia sera na si vipasho vya kwenye vijora huko mitaanini mzee. Wewe unaonekana ni kiongozi dhaifu kuliko hata huyo uliyetaka kumpeleka kibra, na sasa yupo hai kabisa, Lissu alienda ulaya kupata matibabu na sio km unavyotoa sababu zako za kimbea, ingependeza tukisikia ukiomba msamaha kwa watanzania kwa kushindwa kuweka wazi mpaka sasa ni nani aliyehusika ktk tukio la kutaka kumuua Lissu, napia ulitakiwa kuomba radhi kwa kushindwa kuufanya mji wa dodoma kuwa salama kuliko mahali popote pale, maana tukio lilitokea dodoma, ambapo ni makao makuu ya nchi.
Lazima nimnyooshe malaika wa chattoUmevuta bhangi za wapi wewe hahahaha... sasa hapa JPM ameingia je??
Naona unamwoota kila siku! Hii thread inamhusu Mwana FA na Ummy Mwalimu. Pole leo umefuta mapema mno ndugu yangu!Lazima nimnyooshe malaika wa chatto
Hiyo maana yake ni victory acha umbumbumbu!Wakati wananchi wakimshangili mwana masumbwi anayetamba tanzania na kimataifa ndg nwakinyo, niliona mwakinyo akiinua vidole viwili kwa kificho akiwa kwenye uzindunzi wa kampeni za ccm kupitia mgombea wake ndg mwana FA je hii ilikuwa nipicha gani ishara hyo kuonyeshwa na mwakinyo??
Mwana FA ulimwalika mwakinyo? Unajua alichokifanya? Km hujui pitia picha mnato utaona.
Chanzo u-tube.
Kweli nyie maccm ni mambumbumbu. Mataga mwenzako huyo.Hiyo maana yake ni victory acha umbumbumbu!
Hiyo maana yake ni victory acha umbumbumbu!