Uchaguzi 2020 Ummy aahidi kumuonesha Mwana FA vichochoro vya Serikali

Kwa taarifa yako inatumika duniani kote kama ishara ya victory. Sasa wewe mbumbumbu mwana saccos ambaye hana exposure unafikiri ni ishara ya Chadema pekee yake! Jitambue!!
 
Tunawaonea wivu wananchi wa Tanga (M) hapa Mbeya fikiria Mbunge miaka 10 lakini maendeleo Ni yake binafsi na maandamano ya kuvunja vijana wetu miguu.
Usijal. Sasa anakuja mwanamama hodari, shupavu na mwenye akili nyingi, Dkt. Tulia mwana Akson
 
Tunawaonea wivu wananchi wa Tanga (M) hapa Mbeya fikiria Mbunge miaka 10 lakini maendeleo Ni yake binafsi na maandamano ya kuvunja vijana wetu miguu.
Poleni sana. Lakini vitambulisho vya kupigia kura mnavyo basi mjiandae kuvitumia ili kuleta mabadiliko.
 
Hongera Da Ummy. Ulipambana na COVID19 kwa ukakamavu mkubwa. Mungu akulinde
Hivi jamani ni mimi natumia akili myingi sana au sina akili kabisa. Mbona issue ya Corona huwezi sema ni yeye maana yeye "alitutisha" sana kwamba ni hatariiii then simu za saa nane usiku toka kwa jiwe zikaja akabidi kuanzia hapo aseme anachoambiwa na jiwe na mpk amekiri Jiwe amenipa wakati mgumu ktk hili. Maana ilikua sasa kama mtu anaepelekeshwa.
Sasa nashangaa mbona anakula sana crédits kwamba yeye Da Umy ndi ka deal na hili swala la Corona. Hizi credits si ziende kwa Jiwe sasa mshika remote. Au mi nna utindio wa ubongo?!
 
Mtaji wa ccm ni umasikini wa watu ,majimbo masikini yote ccm itapeta including Tanga mjini
 
Jiwe alikuwa anamuingiza chaka ili corona isambae uchaguzi ufutwe au ufanyike bila kufanya kampeni kumbe Mungu akawa upande wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…