Ummy kuna ulazima ku-label haya madarasa?

Ummy kuna ulazima ku-label haya madarasa?

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
863DC9A7-C67A-4974-81B3-7BB3C5F35C50.jpeg
 
Bora kulabel maana linaweza kuja limagufuli lingine likasema limetoa lenyewe pesa za kujanga shule nchi nzima... na ufisadi utapungua kujazia voucher miradi iliyo tayari
 
Yaani haya mambo ni shagharabagara tu mara wanaandika UVICO Ili iweje!? Au ndo masharti ya mkopo? Wafadhiri wa UVICO washaona hamna kitu kichwani!
Hapana... mara zote wafadhili hata hawapendi... Ni vimbele mbele vya machawa...
 
Masikini ndivyo waliyo
heshima kitu cha bure mkuu, kumtaja huyo waziri kwa jina lake ndio nini!? huoni kwamba unamvunjia heshima!?kwani ungesema waziri Ummy au mheshimiwa Ummy au bi, Ummy ungepungukiwa nini!?sasa kwa uandishi wako huu wa kihuni nasisi tukikoment kihuni uzi wako utakuwa na maana kweli!?
 
Wameziwekea label kwa ajili ya kuhakiki matumizi ya fedha zilizotolewa kwa ajili kupunguza makali ya COVID-19 kwenye uchumi wa nchi yetu kama zimetumika vile ilivyokusudiwa.
 
Back
Top Bottom