Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Ata mkopo ni hisani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heshima kitu cha bure mkuu, kumtaja huyo waziri kwa jina lake ndio nini!? huoni kwamba unamvunjia heshima!?kwani ungesema waziri Ummy au mheshimiwa Ummy au bi, Ummy ungepungukiwa nini!?sasa kwa uandishi wako huu wa kihuni nasisi tukikoment kihuni uzi wako utakuwa na maana kweli!?
mkuu hata wewe huheshimiki!?Hakuna mwenye heshima chini ya jua
Huyo ni Ummy Mwalimu
We jamaa ni Master, kula 5👊Bora kulabel maana linaweza kuja limagufuli lingine likasema limetoa lenyewe pesa za kujanga shule nchi nzima... na ufisadi utapungua kujazia voucher miradi iliyo tayari
Wewe uko Nchi gani? Hujawahi ona miradi ya wafadhili ikitambulishwa kwa financier husika? Hadi Kesho utakuta mabango ya miradi ya Us aid,UK aid,Jaica nk sasa sijui unashangaa nini.Yaani haya mambo ni shagharabagara tu mara wanaandika UVICO Ili iweje!? Au ndo masharti ya mkopo? Wafadhiri wa UVICO washaona hamna kitu kichwani!
Kama ni hivyo sawaWameziwekea label kwa ajili ya kuhakiki matumizi ya fedha zilizotolewa kwa ajili kupunguza makali ya COVID-19 kwenye uchumi wa nchi yetu kama zimetumika vile ilivyokusudiwa.
Kwanini hamtaki vitu vizuri? Kuwekwa Aluminium kuna shida gani? Ni kizazi gani mnachotaka kukitengeneza kisichotaka kujua au kutumia vitu vizuri?Shida sio kulebo,Shida ni hivo vioo vya aluminium.Sion matumizi sahihi ya PESA.Naona ufujaji tu.
Mkuu,Design ya Majngo na Kuweka aluminium hapo hapana.Kuna aina nzuri sana za madirisha ambazo hazihitaji kuwa na aluminium.Kwanini hamtaki vitu vizuri? Kuwekwa Aluminium kuna shida gani? Ni kizazi gani mnachotaka kukitengeneza kisichotaka kujua au kutumia vitu vizuri?
We ungeenza na ajira alafu unge lalamika hakuna madarasa, kila kitu kina hatua. Tusiwe watu wa kulalamika tu. Haya toa ushauriBongo,hii,kwa hiyo madarasa tu,ndiyo muhimu[emoji15][emoji15][emoji15]walimu vipi,qpi nyumba zao,qaishi wapi,kw Nini angalau wasifikirie na kujenga nyumba za walimu jpo kw uchache.sasa hao watoto watafundishwa na qlimu wnotoka zaidi ya kilometa tano kw vijijini?
Jinga la Afrika lilikufa kizembe kwa korona... jabali la afrika limeifanyia nini afrika bwashee?
Ndo mambo ya msingi sasa?! Yule Mungu mtu wenu na yeye si ndo alikuwa kinara wa kukopa huku akidanganya watu kwamba "hatutaki pesa za mabeberu"! Si bora huyu anayekopa na kuutangazia umma kwamba anakopa kuliklo yule fraud aliyekuwa anajifanya hakopi wakati nae alikuwa full mkopaji!Tunatembea juu ya ardhi ambayo chini kuna madini. Lakini tunapanda ndege kwenda kuomba misaada huko nje.
Hayo ndio mambo ya msingi sasa.
Yaani tukope mpaka tupewe tuzo ya kukopa.
Pesa zao tena, sio kwamba tulikopaNi muhimu kuonesha wahisani ulichokifanya kupitia pesa zao