Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 841
- 1,755
Kaaaaahhhh puuuuuhheshima kitu cha bure mkuu, kumtaja huyo waziri kwa jina lake ndio nini!? huoni kwamba unamvunjia heshima!?kwani ungesema waziri Ummy au mheshimiwa Ummy au bi, Ummy ungepungukiwa nini!?sasa kwa uandishi wako huu wa kihuni nasisi tukikoment kihuni uzi wako utakuwa na maana kweli!?